ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.
2023 tujengeni, ukiona unashindwa ya block tafuta ya kuchoma bei yake 50 kila tofali yaani tofali 12000 unatumia laki 6 tu. Tafuta fundi wa kulekule kijijini zisafirishe zilete mjini jenga.
Mbona wazungu wanazipenda hizo tofali za kuchoma?