Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kwa kosa gani?
Unachota mchanga pasipo na kibali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosa gani?
Mishahara ya wizarani ni sawa TU na ya Halmashauri usidanganye Watu pesa huna, at least ungekuwa nssf,tpa,tra,bot,tanapa,ega,We boya me sipo chini cha madiwani me mwajiri wangu katibu mkuu wizara yangu ila wapo watu kibao wa halmshauri na wamenizidi mishahara
Inategemea na pesa zako unazipataje. Kama wewe ni mwajiriwa, anza kujenga. Lakini kuna sisi mishen town. Nina elfu10 leo, nataka kufikia december iwe imeshakuwa milion, halafu decembe nyingine iwe ishafika milion 7, suala la kujenga huwa hatulipi periority.
Naibembeleza pesa yangu ili angalau ndani ya miaka mitano kumi nami niwe pahala, niwe mtu katika watu, angalau niwe financially free. Najivuta. Pesa naitoa kwenye milioni 1 hadi naifikisha M50, ndo kwanza naingia barabara kuu ya kufukuzia ndoto zangu unaniambia eti nichukue hiyo M50 yangu nijenge nyumba?![emoji28][emoji28] wakati kunanyumba kibao za kupanga mjini. M3 kwa mwaka napata nyumba nzuri tuu naishi.
I encourage you young fellows, kama uko na dream unafukuzia, do not be enterupted na hii kujenga thing. Kunawakati tuu ukishafika unakotarget, pesa itakuruhusu kujenga tena bila kusua sua na wala huyumbi kiuchumi.
Mimi pombe simo, uzinzi simo, labda kula hapo ndio pesa natumia sana.Sema kwa take home salary ya laki sita
Una Mama
Baba
Pombe
Uzinzi
Kula
Hapo ili ujenge unabidi kutumia Akili ya kuacha vitu visivyo vya msingi na kuweka goals zinazotoa matokeo Chanya.
Ndugu yangu Ndege....sisi ni wale watu ambao tunaamini kujenga njiani ni hasara! Kila siku tunahubiliwa kwamba duniani tunapita. Sasa nitajenga vipi njiani!!??Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.
2023 tujengeni, ukiona unashindwa ya block tafuta ya kuchoma bei yake 50 kila tofali yaani tofali 12000 unatumia laki 6 tu. Tafuta fundi wa kulekule kijijini zisafirishe zilete mjini jenga.
Mbona wazungu wanazipenda hizo tofali za kuchoma?
Mkuu kujenga ukiwa huna pesa za kutosha unakua makini sana.Binafsi
huwa najikuta najenga sn kipind ambacho najihisi Sina hela. Na ujenzi unakamilika.
SIJUI HII KITAALAMU TUNAITAJE wakuu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro naomba tuiweke hii katika audio ili vijana tufike kwa pamoja, coz the rich invest first and buy luxuries laterInategemea na pesa zako unazipataje. Kama wewe ni mwajiriwa, anza kujenga. Lakini kuna sisi mishen town. Nina elfu10 leo, nataka kufikia december iwe imeshakuwa milion, halafu decembe nyingine iwe ishafika milion 7, suala la kujenga huwa hatulipi periority.
Naibembeleza pesa yangu ili angalau ndani ya miaka mitano kumi nami niwe pahala, niwe mtu katika watu, angalau niwe financially free. Najivuta. Pesa naitoa kwenye milioni 1 hadi naifikisha M50, ndo kwanza naingia barabara kuu ya kufukuzia ndoto zangu unaniambia eti nichukue hiyo M50 yangu nijenge nyumba?!😅😅 wakati kunanyumba kibao za kupanga mjini. M3 kwa mwaka napata nyumba nzuri tuu naishi.
I encourage you young fellows, kama uko na dream unafukuzia, do not be enterupted na hii kujenga thing. Kunawakati tuu ukishafika unakotarget, pesa itakuruhusu kujenga tena bila kusua sua na wala huyumbi kiuchumi.
Unajenga kimaskini Sana tafuta hela ya pamoja ujenge kistarehe ,alisikika mlevi mmoja akiropokaNdio hivyo mdogomdog na Mimi nimeamua kuanza mwaka mpya Kwa kuanza ujenzi wa kirental apartment kingine, Jana nimemaliza msingi wa Chumba sebuleni choo jiko,
Nataka nivipange kama 20 hapo nakaribia cha 10.
Mchanga nimeletewa na vimfuko usiku jamaa wanafanya kuchimba mtoni Kwa kuiba mmetumia kama 30k Kwa mchanga na bado umebaki
View attachment 2469768View attachment 2469769
Mentality yangu uwa inaniambia bora Nikatike mtaji nikiwa katika harakati za kuukuza, kuliko niuchote, nikajenge nyumba, nifirisike ndo nirudi kuiuza nyumba au niichukulie mkopo eti niinuke tena.Umesema kweli kwa sisi wafanye biashara kutoa pesa kujenga nyumba ya kuishi tunaona tunarudi nyuma kabisa ila kama umeshafanya biashara kwa muda mrefu utakubaliana na mimi kuna kipindi biashara zinayumba hadi unakatika mtaji wote unaanza tena kuunga unga hapo ndio mawazo yanakuja bora ningejenga ningeuza mjengo faster nirudi tena barabarani
Ukifikia hatua ya bati nishtue bossNimekwa hapaView attachment 2469839
Ndio hivyo mdogomdog na Mimi nimeamua kuanza mwaka mpya Kwa kuanza ujenzi wa kirental apartment kingine, Jana nimemaliza msingi wa Chumba sebuleni choo jiko,
Nataka nivipange kama 20 hapo nakaribia cha 10.
Mchanga nimeletewa na vimfuko usiku jamaa wanafanya kuchimba mtoni Kwa kuiba mmetumia kama 30k Kwa mchanga na bado umebaki
View attachment 2469768View attachment 2469769
Mbona umekwama sehemu nyepesi?Nimekwa hapaView attachment 2469839
Nimekwa hapaView attachment 2469839
Hongera mkuu, tafuta nguvu endelea baadae ,Ujenzi ni mdogomdogo Kwa watanzania wengiNimekwa hapaView attachment 2469839