Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

Mkuu samahani lakini,mbona umejenga sehemu ambayo inaonekana ni bwawa la maji?

Heri Angefanya msingi uwe mrefu sana halafu a wage kifusi kuizunguka nyumba akiwa anaingia ndani ya fence anakua Kama anapanda mwinuko nyumba za jirani zitakuwa zinazungukwa na maji yake anakuwa anapeta tu.
 
Bro naomba tuiweke hii katika audio ili vijana tufike kwa pamoja, coz the rich invest first and buy luxuries later
Sio audio iandikwe na pia ipigwe lamination na wabandike kila mahali penye wachakarikaji wa nchi hii .

Huku tukisindikizwa na nyimbo za kuch kuch kutoka kwa ndugu zet Indians
 
Mentality yangu uwa inaniambia bora Nikatike mtaji nikiwa katika harakati za kuukuza, kuliko niuchote, nikajenge nyumba, nifirisike ndo nirudi kuiuza nyumba au niichukulie mkopo eti niinuke tena.

uKianza biashara na ukaona inakuendea viziri iache iflow mpaka pale itakapo kiruhusu yenyewe kufanya something else. Sio biashara inaflow unachota mtaji unakwenda kujenga nyumba ili sijui uachane na kero za upangaji halafu ufirisike uiuze ile nyumba ujikwamue[emoji28]. Kwanza katika mazingira hayo nyumba utaiuza kwa bei ya kutupa. Unachezea stress za kufirisika wewe!. Pesa unaileta kwenye biashara, biashata inakutaka uanze tena hatua kadhaa nyuma. Akili yako nayo haitaki uanzie nyuma, inataka uanzie palepale ulipokuwa umefika kabla ya kufirisika. Unakuwa mtu wa stress na matumizi tuu sasa hadi hela ya nyumba nayo inaisha. Msongo wa mawazo, mara presha unakufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukifa ukifika mbinguni nako unaulizwa umefuata nini huku [emoji16][emoji16]
 
Kuna wajinga wanajenga na kipato chao ni laki 5 kwa mwezi,hadi kichwa huwa kinaniuma najiuliza wamewezaje
 
Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.

2023 tujengeni, ukiona unashindwa ya block tafuta ya kuchoma bei yake 50 kila tofali yaani tofali 12000 unatumia laki 6 tu. Tafuta fundi wa kulekule kijijini zisafirishe zilete mjini jenga.

Mbona wazungu wanazipenda hizo tofali za kuchoma?
Kumbuka wengine hatupo Lindi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.

2023 tujengeni, ukiona unashindwa ya block tafuta ya kuchoma bei yake 50 kila tofali yaani tofali 12000 unatumia laki 6 tu. Tafuta fundi wa kulekule kijijini zisafirishe zilete mjini jenga.

Mbona wazungu wanazipenda hizo tofali za kuchoma?
Nimetumia hizo tofari sehemu fulani na nimetoa nyumba kubwa ya vyumba vieili, dining, self 01 na public toilet! Nilipata kichuguu kizuri na tofari zilichomwa vizuri, fundi wa plumber alipambana haswa! Hivyo angalau nina uzoefu utakaokuwa msaada kaa nyumba zinazofuatia.. NB. Kipato cha wastani tu
 
Aisee nimechoka kupanga naporomosha mjengo wangu wa tofali mbichi
20230110_190631.jpg
 
Back
Top Bottom