ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
We boya me sipo chini cha madiwani me mwajiri wangu katibu mkuu wizara yangu ila wapo watu kibao wa halmshauri na wamenizidi mishaharaKufanya kaz halmashauri ushajiweka kwenye kundi la wenye Hela.
Anasa zinatupoteza vijana..hela ya kustaafu sio ya kujengeaDuuh umegusa kumoyo mpaka mwenzangu kuna maombi kayaandika sehemu nimeyachungulia mojawapo ni ananiombea nijenge.Ngoja nikaze matako hii 2023 lazima nifike sehemu.
Wapi hii mkuu songea auWatu wanatumia guta mdogo mdogo ujenzi unaendelea
2023Sema kwa take home salary ya laki sita
Una Mama
Baba
Pombe
Uzinzi
Kula
Hapo ili ujenge unabidi kutumia Akili ya kuacha vitu visivyo vya msingi na kuweka goals zinazotoa matokeo Chanya.
Sema kwa take home salary ya laki sita
Una Mama
Baba
Pombe
Uzinzi
Kula
Hapo ili ujenge unabidi kutumia Akili ya kuacha vitu visivyo vya msingi na kuweka goals zinazotoa matokeo Chanya.
Kukopa dhambiLazima ukope bila mikopo huwez kuendelea
Kukopa dhambi
Ndio hivyo mdogomdog na Mimi nimeamua kuanza mwaka mpya Kwa kuanza ujenzi wa kirental apartment kingine, Jana nimemaliza msingi wa Chumba sebuleni choo jiko,
Nataka nivipange kama 20 hapo nakaribia cha 10.
Mchanga nimeletewa na vimfuko usiku jamaa wanafanya kuchimba mtoni Kwa kuiba mmetumia kama 30k Kwa mchanga na bado umebaki
View attachment 2469768View attachment 2469769
Kusini hukuWapi hii mkuu songea au
Kwa kosa gani?Nikikuchukulia hatua utasemaje?