Handcap 2:0 home win[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi
huwa najikuta najenga sn kipind ambacho najihisi Sina hela. Na ujenzi unakamilika.
SIJUI HII KITAALAMU TUNAITAJE wakuu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha....Handcap 2:0 home win[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mkuu samahani lakini,mbona umejenga sehemu ambayo inaonekana ni bwawa la maji?Tupo pamoja...salio limekata ..napambana View attachment 2472958
😂😂Kufanya kaz halmashauri ushajiweka kwenye kundi la wenye Hela.
😂😂😂😂Kujenga sio lazima ww ishi maisha ikitokea msiba tutakuaga hata kanisani kulabmaisha ndio mpango wa 2023
Mkuu samahani lakini,mbona umejenga sehemu ambayo inaonekana ni bwawa la maji?
Hapana maji mengi hapo mkuu ni picha tuu ndio haileti uhalisia vizuriMkuu samahani lakini,mbona umejenga sehemu ambayo inaonekana ni bwawa la maji?
Hizo twaziita guest houseDah hivi watu nguvu za kujenga majumba makubwa hivi mnazitoa wapi na mwisho wa siku mtaishi na nani humu ndani?
Sio audio iandikwe na pia ipigwe lamination na wabandike kila mahali penye wachakarikaji wa nchi hii .Bro naomba tuiweke hii katika audio ili vijana tufike kwa pamoja, coz the rich invest first and buy luxuries later
Ukifa ukifika mbinguni nako unaulizwa umefuata nini huku [emoji16][emoji16]Mentality yangu uwa inaniambia bora Nikatike mtaji nikiwa katika harakati za kuukuza, kuliko niuchote, nikajenge nyumba, nifirisike ndo nirudi kuiuza nyumba au niichukulie mkopo eti niinuke tena.
uKianza biashara na ukaona inakuendea viziri iache iflow mpaka pale itakapo kiruhusu yenyewe kufanya something else. Sio biashara inaflow unachota mtaji unakwenda kujenga nyumba ili sijui uachane na kero za upangaji halafu ufirisike uiuze ile nyumba ujikwamue[emoji28]. Kwanza katika mazingira hayo nyumba utaiuza kwa bei ya kutupa. Unachezea stress za kufirisika wewe!. Pesa unaileta kwenye biashara, biashata inakutaka uanze tena hatua kadhaa nyuma. Akili yako nayo haitaki uanzie nyuma, inataka uanzie palepale ulipokuwa umefika kabla ya kufirisika. Unakuwa mtu wa stress na matumizi tuu sasa hadi hela ya nyumba nayo inaisha. Msongo wa mawazo, mara presha unakufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo twaziita guest house
Kumbuka wengine hatupo LindiNahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.
2023 tujengeni, ukiona unashindwa ya block tafuta ya kuchoma bei yake 50 kila tofali yaani tofali 12000 unatumia laki 6 tu. Tafuta fundi wa kulekule kijijini zisafirishe zilete mjini jenga.
Mbona wazungu wanazipenda hizo tofali za kuchoma?
Lindi pwani huku udongo wake matofali ya kuchoma hayafai..labda nachingwea au ruangwa..sanasana songea na tunduru zinakubali sana
Nimetumia hizo tofari sehemu fulani na nimetoa nyumba kubwa ya vyumba vieili, dining, self 01 na public toilet! Nilipata kichuguu kizuri na tofari zilichomwa vizuri, fundi wa plumber alipambana haswa! Hivyo angalau nina uzoefu utakaokuwa msaada kaa nyumba zinazofuatia.. NB. Kipato cha wastani tuNahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.
2023 tujengeni, ukiona unashindwa ya block tafuta ya kuchoma bei yake 50 kila tofali yaani tofali 12000 unatumia laki 6 tu. Tafuta fundi wa kulekule kijijini zisafirishe zilete mjini jenga.
Mbona wazungu wanazipenda hizo tofali za kuchoma?
lengo langu utambue hiyo bei ya 50 sijui kama kuna sehem ipo zaidi ya ukanda huoLindi pwani huku udongo wake matofali ya kuchoma hayafai..labda nachingwea au ruangwa..sanasana songea na tunduru zinakubali sana
Hata sehemu nyingine ikiwa 100 au 150 bado ni bei reasonable kbslengo langu utambue hiyo bei ya 50 sijui kama kuna sehem ipo zaidi ya ukanda huo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app