uhai hautoki mara mbili mkuu mshana jr,uhai ni mara moja tu.ukiona mtu katika hali hiyo ujue kuna mawili,
1.alikuwa bado hajafa,alikuwa deep unconscious kiasi kwamba hata dr aliyempima hakuweza kutambua hilo.
2.ts bcoz of supernatural powers,i mean ni muujiza tu na kutoka kwa Mungu tu ndo anaouwezo kwa kurudisha uhai
Sasa kama ni hivyo zinaponyanyuka si zingenyanyuka moja kwa moja na kurudia uhai wake?
Dah kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,
Mi sipati picha ni namna gani maiti inaamka na kusimama! .inaamka kama kawaida kwa kujisaidia na mikono na miguu? au inaamka kwa style ya Roboti? Na kwanini uitandike mateke kama mshehereshaji alivyosema!
Kuna baadhi ya vitu maelezo yanaweza yasitosheleze hadi mpaka practical, inaweza kuwa ngumu kidogo kuingia mochwari kutokana na taratibu za kazi lakini kama hamtojali tunaweza kufanya ziara makaburini siku moja usiku kwa udhamini wangu

Kipindi kile ukimwi unaua sana. Kuna njemba iliRIP wananchi wakapanga kuzika jioni. Wakati wa ibada ya kikatoliki padre akaimwagia maiti yale maji wanasema ya baraka.... kulaaleki maiti ikapiga chafya.... Nakumbuka Padre aliyekuwa anawapa watu faraja ndio aliongoza zile mbio za marathoni... Sijawahi ona riadha ya namna ile maana hata kilema alisahau magongo akaunga msafara wa marathoni...
Maiti inatisha acheni masihara. Sijui kwanini zinamheshimu mshana jr
Mi niliwah kwenda makaburin na mama yangu,Kuna kaburi la kaka yake tulienda kusafisha ,Mara ghafla niliona vitu kama hewa inatoka kwenye kaburi la mjomba vinapaa angani baadae nikawa naona watu wamevaa nguo nyeupe wamesimama na wengine wamevaa nguo nyeusi wanagalagala chini ,yaan vile vitu naona juu juu ya anga,nikawa namuonyesha mama ,mama haoni nikawa namuelezea na muonyesha na kidole haoniii,,akaniambia tuondoke harakaa,
Sikuelewa mpaka Leo ni ninio
Please invite me Mkuu..Mshana jr naomba nialike mkuu kwenye hiyo mada.