Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Endelea nae kidogo nikimtaka ntakustua unirudishie tehUnataka nizeeke nae [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea nae kidogo nikimtaka ntakustua unirudishie tehUnataka nizeeke nae [emoji12]
Hana jeuri ya kukataa ndo nachompendea msukuma wangu yuleKwani kakataa kurudi mwenyewe
Usimtie jirani yako majaribuni[emoji23] [emoji23] [emoji12]Hebu njoo tu associate mie nawe
Mweeh sasa mie nina majaribu gani jamaniUsimtie jirani yako majaribuni[emoji23] [emoji23] [emoji12]
Unataka nizeeke nae [emoji12]
Ukinimiss si utarudi...?Wanakutaka wengii mno wewee nimeona niachie ngazi [emoji23][emoji23]
Kati ya nani na nani?Chagua mmoja hapa
Dah...kwani siwezi kuwa na wote?Kashingo na vale
Mmh bora nijiweke pembeni kuepusha msongamanoDah...kwani siwezi kuwa na wote?
Mi nawachagua wote na nna mpango wa kuongeza[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa unajiengua sio?Mmh bora nijiweke pembeni kuepusha msongamano
Nyooo....Hahahaaaa unajiengua sio?
Basi poa...ngoja nibaki na hawa wengine[emoji23] [emoji23] [emoji23]