Kiukweli vijana wa Tz wamenishangaza.
Hata mimi sikuwa naamini kama wanaweza kujitokeza barabarani.
Japo wasingeharibu mali za watu na kodi zetu wangekuwa wamefanya poa sana.
Wangefanya uharibifu kama Polisi wangeanza kuwashambulia ila waliwapa sababu vyombo vya dola waweze kuwashambulia.
All in all lililotokea litufunze jambo wote na kiukweli tunahitaji kuheshimiana kama Taifa.
Lazima tukae chini tuzungumzie mapungufu yetu na tuondoe hayo mapungufu hata kama sio kwa 100% ila angalau yafike kwa 70 au 80% kwa kuanzia sio mbaya.
Tunachukiana sana tena tunachukiana kwelikweli.