Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.