Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #21
Platform kubwa hii, wote wapo humu
Kweli wote mpo. Sisi wenye akili tumechanganyika na hao wengine
Platform kubwa hii, wote wapo humu
Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.
Naweza kufikiri ni akina nani hao,Tlaatlah,Chiembe,Choice &coKuna mmoja huyo nadhani anatumia kichwa kama mfuniko wa shingo 🔥
Acha kuwasimanga sana ndugu.Njaa huwa haina akili.Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.
Sema wengi wetu huwa wanafanya makusudi tu, aidha kwa lengo la kuchekesha, etc. Kwenye majukwaa yenye userious 100% huwa wanafuta, ila kwenye chitchat wanaacha.Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.
Lakini huwezi kuwa na akili kama upo chama kijaniKweli wote mpo. Sisi wenye akili tumechanganyika na hao wengine
Kwa andiko Hili umefanana nao hao watu.
Hongera sana
Hahaa daah JUA ni Kali SanaLakini huwezi kuwa na akili kama upo chama kijani
Lakini huwezi kuwa na akili kama upo chama kijani
Acha kuwasimanga sana ndugu.Njaa huwa haina akili.
Kweli wewe na akili zako mmeachana 😂😂Tupo pamoja. Wewe unakalia wapi?
Badilika mkuu maana humu jukwaani hata zikupigwa kura member yupi Hana akili wewe haukosi kwenye Top 3.Naunga mkono hoja, na nikifuatilia nyuzi zako wewe janaa nagundua hilo. Unatumia masaburi kufikiri.
Inasikitisha sana halafu mtu kama huyu eti ndio kichwa cha FamiliaKumbe umeona. Huyu jamaa ni 🚮🚮
Ndio 😎Kichwa chake kinasaidia tu kuziba shimo la shingo?
Tupo pamoja siyo kama wewe ambaye hukai na akili hata siku mbili tu mnaachana.Kweli wewe na akili zako mmeachana 😂😂