Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #41
Badilika mkuu maana humu jukwaani hata zikupigwa kura member yupi Hana akili wewe haukosi kwenye Top 3.
Members wengi wanadai hilo cheki mfano hapo.View attachment 3351173
Cc : EliCohen
🤣🤣🤣 Hebu weka hiyo Poll watu wapige kura na nipambanishe na yeyote namtoa KO. mimi ni akili kubwa sana ndo maana sipo CCM kama wewe. Nyie CCM asiye nazo ndo mnampa Urais