Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
afadhalli wakati huu umekoment bila kuambatanisha na kinyesi gentleman.Na watu hao ni Tlaatlaah and Lucas Mwashambwa
Naunga mkono hoja, na ukifuatilia nyuzi zake hujo jamaa utagundua hilo.Mimi nadhani wewe ndio una hitaji msaada zaidiView attachment 3351056
Kumbe umeona. Huyu jamaa ni 🚮🚮Naunga mkono hoja, na ukifuatilia nyuzi zake hujo jamaa utagundua hilo.
Mimi nadhani wewe ndio una hitaji msaada zaidiView attachment 3351056
Kwa kawaida Kuna binadamu wanaotumia matrako kufikiria wasikupe shida
#ukinitaja miongoni mwao nakuumiza 😡
Umejiandika. 🤣🤣🤣
Hii ni forum so lolote litaandikwa
Uzi wako una maneno mabaya.. Bahati nzuri umeandika uliyo pitia au una pitia.
Na watu hao ni Tlaatlaah and Lucas Mwashambwa
Naunga mkono hoja, na ukifuatilia nyuzi zake hujo jamaa utagundua hilo.
Yupi mwenye shida kwa kichwa ambaye unafikiri ataandika ujinga au ambaye kaandika ujinga?Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Kuna mmoja huyo nadhani anatumia kichwa kama mfuniko wa shingo 🔥
Yupi mwenye shida kwa kichwa ambaye unafikiri ataandika ujinga au ambaye kaandika ujinga?