Kuna watu kabla hawaja Log in JF huwa wanafanya hili jambo. Utakuja kuwasoma unashangaa


Kwa andiko Hili umefanana nao hao watu.

Hongera sana
 
Acha kuwasimanga sana ndugu.Njaa huwa haina akili.
 
Sema wengi wetu huwa wanafanya makusudi tu, aidha kwa lengo la kuchekesha, etc. Kwenye majukwaa yenye userious 100% huwa wanafuta, ila kwenye chitchat wanaacha.

Yaani ni kama vile ulivyoandaa hii CHAI
​
 
Wewe ubongo umeweka wapi kwanza mkuu?
 
Binafsi jf ,naipenda mno na naichukukulia kama familia yangu kwa undani ,japo kila mtu namchukulia kama familia ila lazima ubongo wangu ambao ndio mimi lazima niupe kipaumbele ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ