Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
-
- #41
Badilika mkuu maana humu jukwaani hata zikupigwa kura member yupi Hana akili wewe haukosi kwenye Top 3.
Members wengi wanadai hilo cheki mfano hapo.View attachment 3351173
Cc : EliCohen
Inasikitisha sana halafu mtu kama huyu eti ndio kichwa cha FamiliaView attachment 3351179
Komeo Lachuma nyuzi zako nyingi za Kipimbi na zinakuabisha mfano huo ,☝️☝️☝️
Usitulazimishe wote tushabikie siasa uchwara
Acha dharau dogo
Unayemsema sio mwingine ni kaka mmoja kutoka nyanda za juu kusini, mpenda kusifia sana, ameazima jina kutoka kwenye moja ya zile injili, ile ya tatu.Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.
Watu wa aina hiyo wapo humu, ila sio wote..Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.
Kama wewe ndio nini sasa umeandikaAkiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja kuanzisha thread au kuchangia.
Kuna mtu anaweza andika jambo ukasema huyu inawezekana kichwani sehemu ilitakiwa ukae ubongo pamewekwa Makamasi. Ndo yamejaa hayo. Unashangaa huyu kweli naye anaishi? Mzima kweli huyu au ndondocha.
Mwingine anatumia masaburi kufikiria na kuandika. Anaandika huku kifikirio ni masaburi yenyewe hajaoshwa anajikuna na ku sniff huku anaandika uzi wake. Utamwona tu anachoandika.
Kama wewe ndio nini sasa umeandika
Hatari sana wa kwetu... 😆Binafsi jf ,naipenda mno na naichukukulia kama familia yangu kwa undani ,japo kila mtu namchukulia kama familia ila lazima ubongo wangu ambao ndio mimi lazima niupe kipaumbele 🤔