Kuna watu makatili kweli kweli, achoma paka moto akiwa hai

Wewe u qfuga paka jike ukitegemea nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hao mbwa ni wa darisalama. Mbwa wa mkoani hauwawi na mpaka
 
Enzi za utoto paka alitafuna kifaranga mbele yangu. Nilisitisha zoezi la kula chakula nikaanza kushughulika nae, tulipelekeshana takriban masaa mawili baadae nikaibuka kidedea, baada ya marungu kadhaa ya kichwa, nilienda kumpiga moto wa mkaa ulioteketeza hadi mifupa.

Hua nikikumbuka hilo tukio naingiwa huruma sana. Ni chembechembe za roho ya ukatili.
 
Hahahah hapo alikuwa anataka apige chabo
Ulimbania bure asipige chabo
 
Paka mda mwingine ana tabia mbovu kama hujamtrain, anaweza tu ukiwa umetenga chakula akapitisha mkia ili ukisuse, ale. Anaweza hata kunya kwenye unga wako wa ugali kana kwamba amekosa sehemu ya kumaliza haja zake. Paka ni mnyama mwenye vitimbwi vingi mno

Ila yeyote anayepambana na paka atakuwa anajiamini sana. Kwa sifa tunazosikia kitaa hafai
 
Hapa umetupiga mkuu
 
Kumfungia paka ili umpige... Ulikuwa unatafuta mauti. Shukuru zako zilikuwa zipo
 

Serikali imchukulie hatua huyu mtu, leo kamchoma paka kesho atamchoma housegirl ama mkewe
 
Ni utaahira, amemsababishia mateso makali sana
Kwasababu hamjawahi kuwa na touch na mfugo mnaofuga ni rahisi sana kumlaumu mangi. Angalia hapo pembeni kuna kuku wake hana kifaranga hata kimoja halafu paka mwenyewe ki muonekano tu ni yale mapaka pori yasiyo na mwenyewe.
Paka anaedokoa mboga anavumilika maana ni njaa lakini paka anaegeuza banda lako la vifaranga ndio sehemu yake ya mwindo huyo hafai.
Ukute Manginkajaribu mbinu zote, kaimarisha banda lake, kamtega kwa sumu zote zimefeli mwisho kamnasa kwa mtego afanyeje? Njia rahisi ya kumuua ilikua ni hiyo ya kumpelekea moto tu au nyinyi mnadhani ndani ya hiyo cage angemuuaje?


Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…