Nikiwa mtoto na wadogo zangu wawili wa kiume tuliyaua mno mapaka shume aka vimburuPaka mda mwingine ana tabia mbovu kama hujamtrain, anaweza tu ukiwa umetenga chakula akapitisha mkia ili ukisuse, ale. Anaweza hata kunya kwenye unga wako wa ugali kana kwamba amekosa sehemu ya kumaliza haja zake. Paka ni mnyama mwenye vitimbwi vingi mno
Ila yeyote anayepambana na paka atakuwa anajiamini sana. Kwa sifa tunazosikia kitaa hafai
Huyo jamaa haya MTU anaweza kuua sababu ya maliNimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea kumpenda sana yule kuku. Siku mojan nimedamka mapema kwenda kulisha kuku nikakuta kuku wangu kishingo kadanja nilikosa raha siku nzima. Baba yangu mdogo mfugaji nae alikuja nisabahi home ile kunikuta na simanzi akanitusi acha ufala wewe akisema “mimi nafuga ngombe na mbuzi na wanakufa, wewe kafa kuku unatia huruma, angekufa ngombe wa million 3 si ungekufa??” hahah
Nimeandika haya nikimfikiria huyu mchaga ana roho ya namna gani kuchoma paka moto. Mie kama kuna paka anakula mifugo ningemuwekea sumu kwenye samaki. Lakini huyu jamaa ana roho ya namna gani. Mimi ni mchaga wa mkuu Rombo lakini aisee kuna wachaga wana roho ngumu sana. Nawataadharisha wale wenye wenza wa kichaga chungeni sana kuweni makini mnooo...
View attachment 2004793
Wako very displined wakiwa wadogo mpk umri wa kati,yule alianza tabia za ajabu alivyoanza kuzurura na mipaka ya mtaani.
Ila mwanzo alikua poa sana na nimekaa nae muda tu.
Yes nilifungua mlango atoke,,maana alipoona nampiga akawa anaruka na makucha yake ananata ukutani nikimrushia gongo pale anaruka kuniatack usoni.
Namkwepa
Nikaona tutauana humu
Nikafungua mlango.
Wale wadudu ni km chui ndugu akigeuka zile kucha zake ni ndefu sana.
Anakudhuru vizuri tu.
Yupo mwingine alimtwanga paka kwenye kinu hadi akawa uji[emoji1787]Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea kumpenda sana yule kuku. Siku mojan nimedamka mapema kwenda kulisha kuku nikakuta kuku wangu kishingo kadanja nilikosa raha siku nzima. Baba yangu mdogo mfugaji nae alikuja nisabahi home ile kunikuta na simanzi akanitusi acha ufala wewe akisema “mimi nafuga ngombe na mbuzi na wanakufa, wewe kafa kuku unatia huruma, angekufa ngombe wa million 3 si ungekufa??” hahah
Nimeandika haya nikimfikiria huyu mchaga ana roho ya namna gani kuchoma paka moto. Mie kama kuna paka anakula mifugo ningemuwekea sumu kwenye samaki. Lakini huyu jamaa ana roho ya namna gani. Mimi ni mchaga wa mkuu Rombo lakini aisee kuna wachaga wana roho ngumu sana. Nawataadharisha wale wenye wenza wa kichaga chungeni sana kuweni makini mnooo...
View attachment 2004793
Vifaranga vilirudi baada ya kumtesa vile? Angepiga rungu moja la kichwa kwisha habariKwasababu hamjawahi kuwa na touch na mfugo mnaofuga ni rahisi sana kumlaumu mangi. Angalia hapo pembeni kuna kuku wake hana kifaranga hata kimoja halafu paka mwenyewe ki muonekano tu ni yale mapaka pori yasiyo na mwenyewe.
Paka anaedokoa mboga anavumilika maana ni njaa lakini paka anaegeuza banda lako la vifaranga ndio sehemu yake ya mwindo huyo hafai.
Ukute Manginkajaribu mbinu zote, kaimarisha banda lake, kamtega kwa sumu zote zimefeli mwisho kamnasa kwa mtego afanyeje? Njia rahisi ya kumuua ilikua ni hiyo ya kumpelekea moto tu au nyinyi mnadhani ndani ya hiyo cage angemuuaje?
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Yaani sijui uchawi ule 😭Yupo mwingine alimtwanga paka kwenye kinu hadi akawa uji[emoji1787]
Mlalamikaji ni lazima awe pakaAisee huyo jamaa atafutwe na kufunguliwa kesi,hope sheria za haki za wanyama zipo.
kuna paka ananilia vifaranga, siku nikimdaka namchoma kama huyu jamaaNimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea kumpenda sana yule kuku. Siku mojan nimedamka mapema kwenda kulisha kuku nikakuta kuku wangu kishingo kadanja nilikosa raha siku nzima. Baba yangu mdogo mfugaji nae alikuja nisabahi home ile kunikuta na simanzi akanitusi acha ufala wewe akisema “mimi nafuga ngombe na mbuzi na wanakufa, wewe kafa kuku unatia huruma, angekufa ngombe wa million 3 si ungekufa??” hahah
Nimeandika haya nikimfikiria huyu mchaga ana roho ya namna gani kuchoma paka moto. Mie kama kuna paka anakula mifugo ningemuwekea sumu kwenye samaki. Lakini huyu jamaa ana roho ya namna gani. Mimi ni mchaga wa mkuu Rombo lakini aisee kuna wachaga wana roho ngumu sana. Nawataadharisha wale wenye wenza wa kichaga chungeni sana kuweni makini mnooo...
View attachment 2004793