Kuna watu mnasababisha mikosi kwenye ndoa na familia

Kuna watu mnasababisha mikosi kwenye ndoa na familia

Hapo hizo ni mbwembwe za kampeni tu ya kutafuna mbunye ya mgombea wa viti maalumu.😂! Kimsingi ameingizwa kingi na kajaa wacha aliwe wewe achana na umbeya wa kukagua simu ya mume.

Hili linanifanya nawaza kweli mwanamke akiwa na amani sana anafafuta sababu ya ugomvi tu ili mkwazane.
 
Kapteni nae taahira tu, ndo nini kufanya hivyo?

We haya mambo yasikie tu. Kapteni anawezakufika kwako akakupanga ukajiona kama wewe ndio Malkia, dunia yote Yako, unapandisha waheshimiwa kwenye Uda wakihudhuria maziko Yako, kumbe shida yake kimasihara tu.

Mwanaume yeyote akiweza kushinda hiyo kadhia, hakuna jaribu lingine litampelekesha. Hiyo vita inatafuna watumishi, watu wenye heshima zao n.k, haiangalii makunyanzi. Mjue hata sisi hatupendi na tunajitahidi sana, Tena Kwa kujutia kusikoelezeka ila ndio mtihani wenyewe sasa.
 
Hapo hizo ni mbwembwe za kampeni tu ya kutafuna mbunye ya mgombea wa viti maalumu.😂! Kimsingi ameingizwa kingi na kajaa wacha aliwe wewe achana na umbeya wa kukagua simu ya mume.

Hili linanifanya nawaza kweli mwanamke akiwa na amani sana anafafuta sababu ya ugomvi tu ili mkwazane.

Cha ajabu sasa, mwanaume ukihisi wife ameshtukia tukio unakosa amani na utulivu kabisa. Mbaya zaidi unakuta hakwambii Wala hasemi shida Iko wapi, ila unajua fika ana jambo lake...unaweza kujikuta unajichanganya kumbe alikua kwenye mood zake tu.
 
Embu fanyia kazi mipango ya "mama mjengo" weka mabanda na mifugo [emoji23][emoji23]. Mimi kama mwanaume nakuhakikishia huo mchepuko unafikiriwa kupigwa chini mda huu, kwa sababu uongo wa mume wako umeshafika mwisho, jamaa aliingia na gia ya kujipatia utelezi usio na gharama na inaonekana siyo muhangaikaji wa wanawake wengi...

Waache na mambo yao
 
Mumeo mjanja, kalidanganya boya likaamini. Yupo kwake kingono tu ila anakutambua wewe zaidi ndio maana kamdanganya halafu kahamia na wewe.

Kama vipi kuwaachanisha we mwambie tu amlete mchepuko wake aone nyumba yake hapo mumeo atajua kashtukiwa wataachana wala usiifanye kesi kubwa
 
Ila Kuna wanawake wajinga,unajengaje na hawara?!!!ni upuuzi uliopitiliza Kabisaa

Dada we waachie mambo watajuana wenyewe!!!
 
Ila Kuna wanawake wajinga,unajengaje na hawara?!!!ni upuuzi uliopitiliza Kabisaa

Dada we waachie mambo watajuana wenyewe!!!
Inaonekana kadanganywa huyu mdada.
Hajui kama jamaa ana mke
 
Ila inatia hasira hata kama nyumba ina jina langu.

Namuonea huruma mchepuko?🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Mi nahisi kadanganywa
 
We haya mambo yasikie tu. Kapteni anawezakufika kwako akakupanga ukajiona kama wewe ndio Malkia, dunia yote Yako, unapandisha waheshimiwa kwenye Uda wakihudhuria maziko Yako, kumbe shida yake kimasihara tu.

Mwanaume yeyote akiweza kushinda hiyo kadhia, hakuna jaribu lingine litampelekesha. Hiyo vita inatafuna watumishi, watu wenye heshima zao n.k, hauangalii makunyanzi. Mjue hata sisi hatupendi na tunajitahidi sana, Tena Kwa kujutia kusikoelezeka ila ndio mtihani wenyewe sasa.
😂😂😂Mi nahisi kadanganywa
Ndio mchepuko kadanganywa.
 
Msubirie siku atakayo kuna kuhamia hapo alaf akute muamiaji haram ameshamia kabla yake ndio atajua hajui siku iyo

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom