Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hii sentensi ndio imesamaraizi kila kitu 😂😂😂In short jamaa anakula kimasihara kwa kumdanganya mchepuko kua anahamia nae kwenye nyumba while in real sense n kwa mkewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sentensi ndio imesamaraizi kila kitu 😂😂😂In short jamaa anakula kimasihara kwa kumdanganya mchepuko kua anahamia nae kwenye nyumba while in real sense n kwa mkewe.
Yoyote?[emoji7]Leo unanikosha sana, nidai zawadi
Yoyote my wanguYoyote?[emoji7]
Dah. [emoji39][emoji38] hebu tupeane location[emoji23]Yoyote my wangu
Utunzi Mzuri.Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa👇👇👇👇
Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu,
"Baby vipi ule mpngo wa kuhamia kwenye nyumba yetu vipi? ,tuhamie bwana mimi hera ya kuamia nitatoa afu kule kibambq panafaa kufuga mifuko itabidi tutengeneze na mabanda", imeishia hapo.
Na mimi na mume wangu tuna wiki moja tumehamia kwetu na ni huko Kibamba, kiwanja kila kitu kina jina lake na langu. nilichofanya nikaingia Mpesa nikaangalia jina lake nikamsearch huku fb, nikaona kapost picha ya nyumba yetu kaandika:
"Mama mjengo, asante Mungu kumaliza nyumba yanguðŸ˜ðŸ˜."
Mpaka sasa nimeganda kama barafu sijaongea chochote na wala mume wangu hajui.
Nimuulize au niwaachie wenyewe mambo yao?
Sasa hampendi kelele hizi kwanini mnafanya? Huyo mwanamke akiamua amuue mkeo ili ahamieMkuu kuwa mpole na u play your part as a wife
Hizi ndio kelele zinazua migogoro
Ukijifanya mjuaji tu umekwisha
Kiufupi sasa hivi wanaume hatupendi kelele hizi
Na ndo hapo hawara anajibebesha mimba kwasababu anajua hiyo nyumba watagawana na watoto wa mke wa ndoa. Wanaume mnatutesa sanaIla Kuna wanawake wajinga,unajengaje na hawara?!!!ni upuuzi uliopitiliza Kabisaa
Dada we waachie mambo watajuana wenyewe!!!
Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu, "Baby vipi ule mpngo wa kuhamia kwenye nyumba yetu vipi? ,tuhamie bwana mimi hera ya kuamia nitatoa afu kule kibambq panafaa kufuga mifuko itabidi tutengeneze na mabanda", imeishia hapo.
Na mimi na mume wangu tuna wiki moja tumehamia kwetu na ni huko Kibamba, kiwanja kila kitu kina jina lake na langu. nilichofanya nikaingia Mpesa nikaangalia jina lake nikamsearch huku fb, nikaona kapost picha ya nyumba yetu kaandika:
"Mama mjengo, asante Mungu kumaliza nyumba yangu[emoji24][emoji24]."
Mpaka sasa nimeganda kama barafu sijaongea chochote na wala mume wangu hajui.
Nimuulize au niwaachie wenyewe mambo yao?