Inamaana wameshindwa kutumia gunduzi zao kujipatia pesa?Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
SUA kuna mtu ana PhD ila anasaga tangawizi,vitunguu saumu na kuchanganya asali eti ndio PhD yake hiyo ametumia kupata dawa ya korona.PhD ya Utafiti juu ya viatu alivyovaa Chief Ihunyo.
Hizo PhD haziwezi kuwa na manufaa kwa wao binafsi,familia zao,Koo zao pamoja na jamii zao mpaka waajiriwe au wapate teuzi?Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Si rahisi kama huna mtaji utaishia kupekua vitabu tu.
Hata mazingira ya kujiajiri ni magumu. Pia unakuta mtu ana PhD ya utafiti wa mbu atajiajiri vipi? Sio rahisi kihivyo.Hizo PhD haziwezi kuwa na manufaa kwa wao binafsi,familia zao,Koo zao pamoja na jamii zao mpaka waajiriwe au wapate teuzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mazingira ya kujiajiri ni magumu. Pia unakuta mtu ana PhD ya utafiti wa mbu atajiajiri vipi? Sio rahisi kihivyo.
Umeuliza tu swali la kibabe ila unajua hata waalimu na madaktari wanachangamoto ya ajira kwani walisomea mambo magumu?Faida za kuwa msomi ni pamoja na kuiona kesho yako na kusoma kitu chenye kuwanufaisha watu moja kwa moja , Sasa unajijua upo Katika Nchi masikini then unasoma Mambo magumu ili iweje?
Hiv we unajua maana ya PhD kweli? Au we ndio unayo? ni ya nini hiyo ambayo haiajiriki.Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Kama wewe ni daktari wa Binadamu huwezi kuwa umedufua Hadi PhD ukaanza kunyatia Ajira uchwara za serikaliniUmeuliza tu swali la kibabe ila unajua hata waalimu na madaktari wanachangamoto ya ajira kwani walisomea mambo magumu?
Hujaona umuhimu kwasababu huna. wanatafutwa watu wa masters hawapatikani vyuo vinarudia matangazo mara mbilli mbili mtu anatokea kuna PhD ziko mtaani. Nyie ni mapoyoyo tu hakuna mnalojua.Waombe Tamisemi na Ajira portal waje kwenye fair ground wapambanie Asali
Kama upo smart sio lazima kuwa serikalini
Pia Nchi yetu haitaji PhD Maana Hadi Muda sijaona imuhimu wa PhD za bongo.
Nafahamu fika. Nakwambia watu wana uzoefu wa miaka zaidi ya 15 tena wamefanya kazi nchi za nje na wana machapisho mengi lakini kazi hawapati licha ya kufanya applications kibao. Ni hatari!Hiv we unajua maana ya PhD kweli? Au we ndio unayo? ni ya nini hiyo ambayo haiajiriki.