Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

Mimi naangalia kuhusu matumizi sahihi ya ulichokisoma ukiishi ulaya ukapata Ajira kwa Elimu yako ya PhD within 15yrs huwezi kuwa jobless na kusubiri Ajira uchwara za serikalini Ambazo kuzipata sharti uwe mwanaccm
Sijasema ndivyo ilivyo kwamba kila mmoja ameishi Ulaya 15 years! Mtu ana 15 years uzoefu wa kazi some of it was gained abroad. Mtu amemaliza mikataba yake nje ya nchi amerejea nyumbani kama mkataba unavyomtaka anajikuta hapati kazi watu hawa lazima wasaidiwe na serikali.
 
Ok nadhani haya mambo yanahitaji mtu binafsi kujua ili upate Kazi Nini ufanye waambie wajiingize CCM
Sijasema ndivyo ilivyo kwamba kila mmoja ameishi Ulaya 15 years! Mtu ana 15 years uzoefu wa kazi some of it was gained abroad. Mtu amemaliza mikataba yake nje ya nchi amerejea nyumbani kama mkataba unavyomtaka anajikuta hapati kazi watu hawa lazima wasaidiwe na serikali.
 
Inaonekana mnachukulia mambo lightly sana watanzania vijana. Kila kitu ni utani na mzaha.
Mzee naona una mentality ya kwamba alieenda shule ndio ana akili wakati kuwa na akili ni kitu ambacho ni inborne.
 
Hata mazingira ya kujiajiri ni magumu. Pia unakuta mtu ana PhD ya utafiti wa mbu atajiajiri vipi? Sio rahisi kihivyo.
Sasa PhD ya nini kama umeshindwa kabadili mazingira magumu kuwa mepesi au changamoto kuwa fursa Sasa mtu kama huyo atawezaje kuongoza taasisi unayotaka yeye ateuliwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.

Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.

Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Ndo mana sitaki kujitia stress za kwenda kusoma masters ila In shaa Allah nikipta ajira nitaenda kusoma
 
PhD ya Utafiti juu ya viatu alivyovaa Chief Ihunyo aliyegundua mkaja wa babu kwenye mahari. Case study Kiabakari.
Mtu akifanya PhD mfano biochemistry of chiken manure yaani chemia ya mavi ya kuku, haimaanishi huyo mtu anajua mavi ya kuku au mkaanza kusema amesomea mavi ya kuku atapata kazi wapi? Kuna mengi yanayoambatana na PhD hiyo na yanamweka mwanafunzi pahali pa kufanya kazi katika uwanja wa chemistry.
 
Sasa PhD ya nini kama umeshindwa kabadili mazingira magumu kuwa mepesi au changamoto kuwa fursa Sasa mtu kama huyo atawezaje kuongoza taasisi unayotaka yeye ateuliwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mnafikiri PhD ni ka uchawi ka kufanya mambo pindi unapokuwa nayo? Kuna mengi ni kama vile unakuwa na mtu mwenye akili nzuri kibiashara ana business plan nzuri lakini hana mtaji.
 
Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.

Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.

Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Pure head demage (PHD) Au PhD?
Mtu mwenyewe PhD maisha hayawezi mtaabisha....maana hawezi shindwa ku feed his stomach na kufeed others stomach maana ana uwezo wa kutengeneza fursa😊
Hapa sizungumzii certificate nieleweke hivyo....
 
Mzee naona una mentality ya kwamba alieenda shule ndio ana akili wakati kuwa na akili ni kitu ambacho ni inborne.
Ndio/sio. Akili mtu huzaliwi nazo bali unazipata kupitia life experience au learning. Unazaliwa na ile potential ya kupata akili, ukiitumia utakuwa na akili usipotumia unabaki zuzu.
 
Inaonekana huelewi uhalisia wa mambo unachukulia jumla jumla mambo. Unafikiri ukienda Ulaya ni kama umekwenda Mbinguni huwezi kurudi nyumbani?
Kwaiyo umeajiriwa miaka kumi na Tano umeshindwa kufanya save kiasi Cha pesa ambacho unaweza kukitumia kama mtaji wa kuigeuza elimu yako kuwa pesa na unataka upewe taasisi Si nyie ndo mnaoua mashirika na taasisi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo umeajiriwa miaka kumi na Tano umeshindwa kufanya save kiasi Cha pesa ambacho unaweza kukitumia kama mtaji wa kuigeuza elimu yako kuwa pesa na unataka upewe taasisi Si nyie ndo mnaoua mashirika na taasisi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanafanya kazi miaka 30 hawaweza kujenga nyumba. Kuna mambo mbalimbali yanayoweza kumkabili mtu asiweze kusave. Pia mtu aliyekwisha fanya kazi flani mathalani kazi ya utafiti yupo ofisini leo unamwambia akaanze kufanya biashara au kilimo cha mpunga sio rahisi akafanikiwa.
 
Back
Top Bottom