- Thread starter
- #81
Nyie pengine hamjasoma na hampendi wasomi pamoja na kutegemea kazi zao. Hivi mnajua kuwa kila kitu kinachhongoza maisha ya watu wasomi ndio chanzo chake? Hizo bidhaa mnazouza zimetengenezwa na wasomi nyie kazi ni kusambaza na kuuza tu.
Kuna njia tatu za kufanikiwa kimaisha...
Bahati
Kipaji
Bidii yenye akili....
Mwambie ajitafute hapo, yupo kundi gani aache kulia lia...
PhD Bongo Bahati mbaya.
Akiwa mkurugenzi ataiba tuu we check report ya CAG utagundua kusoma sana ni utapel wakuja kutumia elimu yako kuibia wenzako