Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv we unajua maana ya PhD kweli? Au we ndio unayo? ni ya nini hiyo ambayo haiajiriki.
Kunatatizo kwenye tume ya vyuo vikuu. Eti wameweka utaratibu mtu yeyote kuwa assistant lecturer au lecturer lazima awe amesoma degree ya kwanza, ya pila na ya PhD fani Moja. Yaani kama economics, na degree ya pili economics na PhD. Hivyo wengine wameondolewa kwenye kazi vyuoni. Mamlaka wamesahau kuwa kozi zinazotolewa na vyuo vyetu ndani yake Kuna masomo mchanganyiko yaani waweza Kuta mtu kasoma business lakini Kuna course ya economics aliisoma mwanzo mwisho, sasa akipendezwa nayo anaweza kusoma masters ya economics, hii ni multidisciplinary approach na anafaa kufundisha kama viwango vya GPA vimekidhi. Lakini Tume ya vyuo vikuu hawataki na wengine wamesimamishwa.Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Afadhali mbu unafanya utafiti wa malaria ambalo ni tatizo kubwa nchini. Kuna watu wana PhD za astronomy, mambo ya anga za juu nyota, sayari na mazugezuge kwenye outer space lakini hata hawa wana nafasi zao kwenye ajira za hapa nchini.Kama wewe ni daktari wa Binadamu huwezi kuwa umedufua Hadi PhD ukaanza kunyatia Ajira uchwara za serikalini
As the same mwalimu ukiwa na PhD huwezi kukosa Sehemu ya ku-offer MAARIFA yako .
Sasa mpaka unatoboa masters to PhD hivi kweli unakuwa hauoni Hali halisi ya Nchi yako inahitaji kwa wakati ujao Hadi usomee Maswala ya Mbu.
Nafahamu fika. Nakwambia watu wana uzoefu wa miaka zaidi ya 15 tena wamefanya kazi nchi za nje na wana machapisho mengi lakini kazi hawapati licha ya kufanya applications kibao. Ni hatari!
Sasa PhD bila hela inakuwa na mantiki gani🤣?Hizo PhD haziwezi kuwa na manufaa kwa wao binafsi,familia zao,Koo zao pamoja na jamii zao mpaka waajiriwe au wapate teuzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ulimbukeni mkubwa Tanzania kuhusu nani anafaa kufundisha chuo kikuu. Mataifa yalivyo endelea gpa ni kigezo kidogo mno wanaangalia uzoefu zaidi.Kunatatizo kwenye tume ya vyuo vikuu. Eti wameweka utaratibu mtu yeyote kuwa assistant lecturer au lecturer lazima awe amesoma degree ya kwanza, ya pila na ya PhD fani Moja. Yaani kama economics, na degree ya pili economics na PhD. Hivyo wengine wameondolewa kwenye kazi vyuoni. Mamlaka wamesahau kuwa kozi zinazotolewa na vyuo vyetu ndani yake Kuna masomo mchanganyiko yaani waweza Kuta mtu kasoma business lakini Kuna course ya economics aliisoma mwanzo mwisho, sasa akipendezwa nayo anaweza kusoma masters ya economics, hii ni multidisciplinary approach na anafaa kufundisha kama viwango vya GPA vimekidhi. Lakini Tume ya vyuo vikuu hawataki na wengine wamesimamishwa.
Ushauri watumie multidisciplinary approach.
Hivi Mkuu Unaweza kwenda kusoma ulaya ukapata PhD yako then ukafanya Kazi ulaya miaka 15 then eti unarudi Tz bongo kufukuzia Ajira uchwara za serikalini Ambazo hupatikana kisiasa hii kwangu naona haina Maana to be honestSasa PhD bila hela inakuwa na mantiki gani🤣?
Ishu ni hela sikuhizi sio sifa za kielimu. Unaweza kuwa na mavyeti kibao ila huna hela.
Hahahahahah huyo boya bora arudi zake ulaya tu kwa namna yeyote.Hivi Mkuu Unaweza kwenda kusoma ulaya ukapata PhD yako then ukafanya Kazi ulaya miaka 15 then eti unarudi Tz bongo kufukuzia Ajira uchwara za serikalini Ambazo hupatikana kisiasa hii kwangu naona haina Maana to be honest
Sio uzoefu hata talent pia. How you understand things and how you can digest themKuna ulimbukeni mkubwa Tanzania kuhusu nani anafaa kufundisha chuo kikuu. Mataifa yalivyo endelea gpa ni kigezo kidogo mno wanaangalia uzoefu zaidi.
Kuna ulimbukeni mkubwa Tanzania kuhusu nani anafaa kufundisha chuo kikuu. Mataifa yalivyo endelea gpa ni kigezo kidogo mno wanaangalia uzoefu zaidi.
Inaonekana huelewi uhalisia wa mambo unachukulia jumla jumla mambo. Unafikiri ukienda Ulaya ni kama umekwenda Mbinguni huwezi kurudi nyumbani?Hivi Mkuu Unaweza kwenda kusoma ulaya ukapata PhD yako then ukafanya Kazi ulaya miaka 15 then eti unarudi Tz bongo kufukuzia Ajira uchwara za serikalini Ambazo hupatikana kisiasa hii kwangu naona haina Maana to be honest
Mimi naangalia kuhusu matumizi sahihi ya ulichokisoma ukiishi ulaya ukapata Ajira kwa Elimu yako ya PhD within 15yrs huwezi kuwa jobless na kusubiri Ajira uchwara za serikalini Ambazo kuzipata sharti uwe mwanaccmInaonekana huelewi uhalisia wa mambo unachukulia jumla jumla mambo. Unafikiri ukienda Ulaya ni kama umekwenda Mbinguni huwezi kurudi nyumbani?
Mfano nani huyo!?Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Naunga mkono hojaSio lazima wote waende serikalini, hata hivyo binafsi sijaona hasa PhD inaleta impact kwenye maendeleo ya taifa. Vocational trainings zina impact kubwa bongo kuliko PhD.
Shida ilianzia hapo.Faida za kuwa msomi ni pamoja na kuiona kesho yako na kusoma kitu chenye kuwanufaisha watu moja kwa moja , Sasa unajijua upo Katika Nchi masikini then unasoma Mambo magumu ili iweje?
AahahaaaaaHivi walimu hawawezi kupambanishwa wenyewe kwa wenyewe kwenye usaili wa ajira zao hadi waajiriwe kwa mafungu kama walemavu.
Ni wengi siwezi kukutajia wapo majumbani na wengine wanauza maduka tena ya ndugu zao. Wana qualifications kubwa kuliko ma PhD holders wengi tulio nao!Mfano nani huyo!?