myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Wawekwe wapi kwenye upungufu???Tuanze na wasomi wa sayansi. Ni aibu kwa taifa linaloendelea kuwaacha hawa wasomi mtaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawekwe wapi kwenye upungufu???Tuanze na wasomi wa sayansi. Ni aibu kwa taifa linaloendelea kuwaacha hawa wasomi mtaani.
Hizo hutumika sana kukoleza misibani tuSasa PhD bila hela inakuwa na mantiki gani[emoji1787]?
Ishu ni hela sikuhizi sio sifa za kielimu. Unaweza kuwa na mavyeti kibao ila huna hela.
Dah!...usitudharau kiasi hicho aisee..... changamoto zipo ila umuhimu wetu upo pia.Graduate wengi Hadi lectures hapa TZ HAKUNA WANACHOPATA HUKO VYUONI
NAONA HII NCHI YA OVYO SANA HUWEZI KUTOFAUTISHA EDUCATED AND UNEDUCATED
Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Ukitaka kujua jinsi nchi ilivyo ya kipumbavu na raia wake wengi walivyo mbumbumbu njoo hapa jamii forum , ni kama hivi unavyoona .Hapana ni mfumo mmbaya tu. Watu wanasoma sana siku hizi na baada ya miaka mingi shuleni wakosa kazi.
Asante sana kwa kuelewa hilo ulimbukeni umezidi Tanzania.Ukitaka kujua jinsi nchi ilivyo ya kipumbavu na raia wake wengi walivyo mbumbumbu njoo hapa jamii forum , ni kama hivi unavyoona .
Nchi inapokuwa na wasomi halafu inashindwa kuwatumia ni upuuz , nchi zote hao watu wenye Phd hasa za masuala ya science NK huwa wanatumika kwenye taasisi za utafiti na masuala ya miradi ya uvumbuzi wa teknolojia nk , hapa kwetu ni kinyume halafu unategemea nchi iendelee , iendelee kwa kukumbatia mediocrity mentality kama hii ? ,
Ni mambo za kusikitisha. Mtu mwenye boti zake asiye na cheti hata kimoja ila ni sawa na Meli kwa hela😀😀😀Unazidiwa hela na mvuvi...
Haya sisi tunayafahamu, ila wakati mwingine kukaa kimya ni busara.Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Kwanini?Haya sisi tunayafahamu, ila wakati mwingine kukaa kimya ni busara.
Sawa mkuu andaa vyeti teuzi umepataWapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
Waambie wakajiajiri waachane na janja janja za CCM, Tanzania kuna fursa nyingi sana kwenye mashamba, bahari & maziwa, mabwawa & mito, madini, misitu n.kNi wengi siwezi kukutajia wapo majumbani na wengine wanauza maduka tena ya ndugu zao. Wana qualifications kubwa kuliko ma PhD holders wengi tulio nao!
PhD wengi ni kama dk nawanda tu, hawaaminiki muda wowote wanaweza kufanya tukio la AIBU KUBWANi wengi siwezi kukutajia wapo majumbani na wengine wanauza maduka tena ya ndugu zao. Wana qualifications kubwa kuliko ma PhD holders wengi tulio nao!