Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Falaaaaaaaaaaa Ticha
 
Bidhaa gani inayopelekwa sokoni kwenye night club kama Element Masaki? Pascal Mayalla
Aha...!, Mkuu lubajaro , sio lazima kusema kila kitu!, unapotoa posa na kulipa magari, unalipia kununua bidhaa gani?. Ukioa bodhaa hiyo unakuwa umeinunua bei ya jumla, wengine wengi, hawajapata bahati ya kupata mteja wa kuinunua jumla, hivyo wanalazimika kupeleka bidhaa yao sokoni na kuuza reja reja kwa wateja tofauti tofauti.
Niliwahi kutoa ushauri huu kuhusu biashara hii Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!
P
 
Siku hizi kuna platforms nyingi online za kukuingizia hela, kwahiyo unaweza kaa mwaka mzima upo ndani tu as long as kuna mtu/mfanyakazi wa kumtuma hapa na pale. Hata nchi nyingi zilizoendelea wana discourage mambo ya kuripoti ofisini physical.
 
Wa legalize marijuana itakua bomba🌿
 
Kumbe una pesa za mawazo kama walimu 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…