eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #41
Shetani kwa sasa yuko gerezani akisubiri miaka 1000 itakapotimia afunguliwe ajione yuko huru akawakusanye wenzake wote kuingia vitani na Mungu na hapo ndipo watakapoangamizwa ufunuo 20/7-10Mungu si amteketeze shetani wake? Katuumba na madhaifu na shetani bado yupo anategemea nini?
Either amuondoe shetani au atuondolee madhaifu aliyotuumba nayo.
Wewe binafsi umemkosea nini mungu? Ninavyoelewa ni kwamba kila mtu atahukumiwa kwa dhambi zake.Shetani alikuja duniani akamkuta binadamu so kosa la binadamu ni kumkubali shetani na kumfuata angempinga angesepa zake
So ni sisi binadamu ndio tumemkosea mungu
Alifungwa mwaka gani?Shetani kwa sasa yuko gerezani akisubiri miaka 1000 itakapotimia afunguliwe ajione yuko huru akawakusanye wenzake wote kuingia vitani na Mungu na hapo ndipo watakapoangamizwa ufunuo 20/7-10
So shetani ataangamizwa ila sio leo wala kesho
Yote ni mipango yake mungu
hivi we unaakili kwa hizi hoja zako?Nimesema yote ni mipango ya Mungu
Tulipokosea sisi binadamu ni kumkubali shetani ambae Mungu alimtimua huko aliko mwanzo 3/1-5
Hiki ndio kizazi kilekile cha Adamu hakijabadilika na shetani bado yupo ngangari so bado tunaendelea kukosea ukiacha wale wa kwanzaLini tulimkubali huyu shetani? Kosa afanye adam na hawa tuadhibiwe binanamu wote mpk leo?
Kwani si tunaambiwa mungu ni wa huruma na ukiomba msamaha anasamehe?
Hiyo huruma yake iko wapi?
Mbona hatuadhibiwi kwa dhambi za wazazi wetu?Hiki ndio kizazi kilekile cha Adamu hakijabadilika na shetani bado yupo ngangari so bado tunaendelea kukosea ukiacha wale wa kwanza
Mababu zetu Adamu na hawa walitufungulia njia ya kutokumsikiliza Mungu na kumsikiliza shetani na shetani bado tuko nae na sisi ni washikaji zake wakubwa mwanzo 3/1-5Lini tulimkubali huyu shetani? Kosa afanye adam na hawa tuadhibiwe binanamu wote mpk leo?
Kwani si tunaambiwa mungu ni wa huruma na ukiomba msamaha anasamehe?
Hiyo huruma yake iko wapi?
Kutubu tutatubu na kusamehewa tutasamehewa ila muungano uliopo kati ya shetani na binadamu kwa sasa ni mkubwa mno so watu wanajidai wametubu lakini baada ya muda wanarudi kulekuleWewe binafsi umemkosea nini mungu? Ninavyoelewa ni kwamba kila mtu atahukumiwa kwa dhambi zake.
Sasa kosa afanye adam leo nihukumiwe mimi?
Na kwanini makosa/dhambi zote ukitubu anakusamehe kasoro hiyo ya adam peke yake? Haimake sense
Huu Muungano ni mipango ya mungu. Mungu anauwezo wa kuondoa hii hali.Kutubu tutatubu na kusamehewa tutasamehewa ila muungano uliopo kati ya shetani na binadamu kwa sasa ni mkubwa mno so watu wanajidai wametubu lakini baada ya muda wanarudi kulekule
Hapo ndio ujue muungano kati ya shetani na binadamu umekolea
Yasemekana ni wakati Yesu akiwa kuzimu sina uhakika sana na hilo lakini ni kabla hajafufukaAlifungwa mwaka gani?
Yesu alikuja hapa duniani miaka 2000 iliyopita...according to history.
Ina maana muda wa shetani kukaa gerezani haujaisha tu?
Kwa mujibu wa hiyo miaka inavyohesabika si kama tunavyohesabu sisi watu wa dunianiAlifungwa mwaka gani?
Yesu alikuja hapa duniani miaka 2000 iliyopita...according to history.
Ina maana muda wa shetani kukaa gerezani haujaisha tu?
Unanichanganya.Kwa mujibu wa hiyo miaka inavyohesabika si kama tunavyohesabu sisi watu wa duniani
Maana maandiko ya Mungu yanatuambia miaka 1000 ni sawa na siku 1 mbele ya Mungu alietuumba
Baada ya shetani kufukuzwa huko aliko Mungu aliapa kutukomesha sisi binadamu tuliokuwa tunamfuata Munguhivi we unaakili kwa hizi hoja zako?
"tulipokosea sisi binadamu ni kumkubali shetani" hlf wkt huohuo unasema mungu ndo kapanga sasa si kapanga na binadamu kumkubali huyo shetani!,hlf wkt huohuo vitabu vya dini vinasema shetani ndo mbaya,kwahiyo nani mbaya..?
acha kujichanganya ndugu hebu kale ukalale
Tunahukumiwa kwa makosa yetu ndio kwa kuwa bado dhambi tunaifuata wenyeweMbona hatuadhibiwi kwa dhambi za wazazi wetu?
Adam ahukumiwe kwa dhambi zake na sisi tuhukumiwe kwa dhambi zetu.
Halafu hii situation yote ya adam kurubuniwa na shetani si ni mipango ya Mungu ama?
Anatuadhibu vipi kwa mipango aliyoipanga yeye mwenyewe?
Bas poa ipo siku utamwita akusaidieHamna chochote
Kuifata dhambi ni mipango ya mungu pia. According to you!Tunahukumiwa kwa makosa yetu ndio kwa kuwa bado dhambi tunaifuata wenyewe