eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #41
Shetani kwa sasa yuko gerezani akisubiri miaka 1000 itakapotimia afunguliwe ajione yuko huru akawakusanye wenzake wote kuingia vitani na Mungu na hapo ndipo watakapoangamizwa ufunuo 20/7-10Mungu si amteketeze shetani wake? Katuumba na madhaifu na shetani bado yupo anategemea nini?
Either amuondoe shetani au atuondolee madhaifu aliyotuumba nayo.
So shetani ataangamizwa ila sio leo wala kesho
Yote ni mipango yake mungu