Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Imemshida wala hakuna ubishi kwasasa hatuna kiongozi tupo na bomu Tena la kienyeji
 
Embu acha kuandika vitu kama mtoto mdogo.kwa hiyo hivyo ndiyo vitu unavyoweza kusema nchi imemshinda? Unaelewa maana ya kuendesha Nchi?kama nchi imemshinda Angewezaje kulipa mabilioni ya pesa katika mamiradi makubwa makubwa,kulipa mishahara kwa wakati,kutoa ajira kwa vijana kwa maelfu,kuboresha huduma za afya,elimu, kusambaza maji safi na salama vijijini na mijini, kutoa Elimu bure?n.k.
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Watajuana wenyewe bwana
 
Samia anashindwa changa karata zake vizuri waliomshika masikio wamejua kumg'ang'ania hadi atokwe damu, ufinyu wa kujuana na watu walio wengi Kwa bara nao unamgharimu pakubwa sana.
Ni wakati wa kujitathmini na kuweka mikakati Sawa si Jambo zuri ukwame katika mipango mingi tena Kwa mkupuo.
 
20231218_000655.jpg
 
Back
Top Bottom