Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Ujasiri wa mtu huanzia machoni kwake.Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Macho ya mama yanajieleza ndugu.