John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Ukiona mambo hayaendi, basi nenda wewe, uyaache hayo mambo yenyewe!Sasa shida ni nini mambo hayaendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mambo hayaendi, basi nenda wewe, uyaache hayo mambo yenyewe!Sasa shida ni nini mambo hayaendi?
chawa huna unalolijua zaidi ya ujinga na mapambio.Nyie nyumbu wa Chadema mtajulia wapi hayo mambo , Watumishi ndio tunajua.
Ukiona posho zinatoka ujue mambo ni matamu kuliko kawaida.
Nchi ingefilisika Waziri wa Fedha asingeongeza kiwango cha kuchukua Dola.
Nalolijua ndio Hilo,ukiona pesa ipo ujue mambo ni 🔥🔥🔥chawa huna unalolijua zaidi ya ujinga na mapambio.
Ulimwengu wa Leo mifumo kuzingua au kushambuliwa na virusi ni kawaida hadi Kwa Beberu yanatokea sembuse Tzn?Hiyo naiona kama intentioned sabotage!
Lakini tutakaoumia ni sisi !!
1. Mkuu utashangaa nini?Naendelea kusema, nitashangaa sana Kama Mama Samiah atachukua fomu tena 2025. Nitashangaa sana na kufedheheka sana. Angepisha aje mtu mwingine atakaye leta unafuu.
Pale bandarini kuna watu wanamhujumu na yeye anawachekea tuToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Wewe mwenyewe unayaita matatizo madogo madogo.sasa unaanzia wapi kusema nchi imemshinda wakati unafahamu hayo ni mambo madogo madogo na amefanya makubwa mengi sana yaliyochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake?Wewe ni mpuuzi kweli. Kama kaweza yote hayo kwa mapana yake iweje mambo madogo madogo yamshinde?? Umeme mlituambia mitambo inafanyiwa service, mara kuna ukame, mara mvua zinanyesha mbali na mabwawa. Sababu za kitoto kabisa.
Lucas mwashambwa wewe utakua unaishi nje ya nchi halafu unaangalia TBC TU. Au la huna macho Wala masikio au unaishi usweken ambàko hata pikipiki hazifiki.Embu acha kuandika vitu kama mtoto mdogo.kwa hiyo hivyo ndiyo vitu unavyoweza kusema nchi imemshinda? Unaelewa maana ya kuendesha Nchi?kama nchi imemshinda Angewezaje kulipa mabilioni ya pesa katika mamiradi makubwa makubwa,kulipa mishahara kwa wakati,kutoa ajira kwa vijana kwa maelfu,kuboresha huduma za afya,elimu, kusambaza maji safi na salama vijijini na mijini, kutoa Elimu bure?n.k.
Mtoa mada punguza ujinga shule Haina mwishoToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Punguza ujinga Mzee.Kipimo Cha kama mambo yanaenda au laa viko wazi sana niKila nchi inahitaji mfumo wake wa utawala. Nchi za wenzetu ambazo mifumo ya kitaasisi imeimarika, unasubiri report tu na kutoa miongozo, mambo yanaenda-hands off eyes on. Sasa kwetu huku ukijifanya eti Wakusubiri report, umeliwa. Samia anaweza kuwa mwema na mwenye uzalendo haswa, ila ukweli ni kuwa hana uwezo wa kuongoza serikali. Anaweza kufit kuongoza nchi, ila serikali hawezi. Nchi hii inahitaji Rais chuma haswa, ngangari na mtu wa field sio wa ofisini.
Punguza ujinga Mzee.Kipimo Cha kama mambo yanaenda au laa viko wazi sana ni
-Makusanyo
-Mishahara
-Miradi
-Biashara kukua
-Usalama kuimarika
-Huduma za jamii
-Ajira
-Uwezo wa kulipa deni la Taifa
-Kukopesheka
Mengine hayo ni porojo,kama unadhani hawezi kuongoza Serikali jaribu tuu kutorosha mifuko ya mbolea au kwepa kodi utapata majibu.
View: https://youtu.be/nXLRdBZQ3KE?si=f-F-dxQ1JKtCCees
Sawa Mimi naishi Mars 😁😁mzee, wewe ni Chawa wa Samia, mimi ni MwanaCCM, hatuwezi elewana. Pengine wewe unasoma tu report za serikali ila 'haushi' mtaani na kuzunguka nchi hii, hivyo uko mbali na uhalisia. Kama tukienda na Samia hadi 2030, nakuhakishia, tutarudi tulivyokua 2012.
🗑️🗑️ Labda kama ni Dola pesa sawa ila sio Dola madaraka.CCM inahitaji kukaa pembeni, upinzani ushike dola.
Afadhali huyo tusiyemjuwa angalau afadhali tucheze bahati na sibu tunaweza hata kubahatisha. Huyu wa sasa Hana sifa wala uwezo wa kazi aliyoikalia. Ukiacha hizi tamaduni za chama changu, huyu hamna kitu.1. Mkuu utashangaa nini?
2. Utafedheheshwa na nini?
3. Asichukue fomu kwa nini?
4. Kwa sababu gani asichukue fomu?
5. Anayekucha ana nini asichokuwa macho Rais Samia?
Mkuu unayemtaka alete nafuu mtaje tumchambue mapema kama kweli ataleta huo unafuu!!!!
Ogopa sana wafanyakazi wa ngazi za chiniToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Wapuuzi wote wamejipanga kupiga praise kuwa mama anaupiga mwingi na nchi ni ya mama.Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.