Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
kamakuna changamoto watakuwa wamekusikia maana nimekutana na malori jioni hii nilipotoka taifa kuangalia yanga yakipita toka bandarini na yamefungwa king'amuzi
 
Embu acha kuandika vitu kama mtoto mdogo.kwa hiyo hivyo ndiyo vitu unavyoweza kusema nchi imemshinda? Unaelewa maana ya kuendesha Nchi?kama nchi imemshinda Angewezaje kulipa mabilioni ya pesa katika mamiradi makubwa makubwa,kulipa mishahara kwa wakati,kutoa ajira kwa vijana kwa maelfu,kuboresha huduma za afya,elimu, kusambaza maji safi na salama vijijini na mijini, kutoa Elimu bure?n.k.

IMG_6223.jpg
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.

Hawa hawa mnao lalamika tukiwashauri mpiganie katiba mnajivuta matitizo yakitokea sasa hakuna wa kuwatetea maana mfumo ni mbovu. Wabunge wanawasha jenereta zao, watoto wao wako shule za kingereza na wanashinda chaguzi kwa kuiba lakini wajinga jinga wanashabikia tu!!!
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
samia ni dhaifu mno
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao.

Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.

Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Aache kulalama kama danga, Hafai kuongoza anatakiwa, kuwa kiongozi, wa vicoba tu!
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao.

Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.

Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Unataka imshinde mara ngapi?
 
Nchi ina mgao wa umeme mwaka mzima kwa kisingizio cha kina cha maji kupungua wakati huo huo nchi ina mvua zilizozidi kiwango(elnino).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma imezinda,au wanataka Wananchi waingie Ikulu na silaha za jadi ndio wajue Kitaa kimezinda?
 
Back
Top Bottom