Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
š¤£Ifikisiie TU, itakuwa cjui ni mara ya 3 nchi kufirisika
Wacha inyeshe, tujue panapovuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£Ifikisiie TU, itakuwa cjui ni mara ya 3 nchi kufirisika
Wewe ndio hujui na huelewi Mchawa poyoyo!!Embu acha kuandika vitu kama mtoto mdogo.kwa hiyo hivyo ndiyo vitu unavyoweza kusema nchi imemshinda? Unaelewa maana ya kuendesha Nchi?kama nchi imemshinda Angewezaje kulipa mabilioni ya pesa katika mamiradi makubwa makubwa,kulipa mishahara kwa wakati,kutoa ajira kwa vijana kwa maelfu,kuboresha huduma za afya,elimu, kusambaza maji safi na salama vijijini na mijini, kutoa Elimu bure?n.k.
Mara nyingi tunatoa ushauri kwa mtawala tukiwa na nia njema. Lakini huwa wanageuza ushauri na maoni yetu kama threat kwa nchi na wanatushughulikiaToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao.
Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.