Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

Mlokole unataka uuvagae eee?!!

Kwa hiyo unamshsmbulia huyo bibi kwa kusukumwa na ulokole wako ?!![emoji1787][emoji1787]

Waafrika sijui lini TUTAAMKA.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimshambulie kwa lipi? Sojawahi kuingia mgogoro wowote na FaizaFoxy, hata ukitugombanisha sitogombana. Namuheshimu sana
 
Nimshambulie kwa lipi? Sojawahi kuingia mgogoro wowote na FaizaFoxy, hata ukitugombanisha sitogombana. Namuheshimu sana
Kuwagombanisha...[emoji1787]

Hamtagombana...[emoji1787]

Haya mlokole liombee taifa DP World watuingizie mapato nusu ya bajeti ya nchi kila "fiscal year"....natangulia kusema ,aaaamina[emoji120]

Siondoki...nawe naisubiria "aaamina" yako hapa.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina.

Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia Quran takatifu ?

Tumefika nyumbani kwa Shehe na mgonjwa, haya anamwambia akae chini kwenye mkeka, ghafla Ushtadh anapandisha majini, anaanza kucheka kama mtu alierukwa na akili eh heh ehe (kama ni mara yako ya kwanza utaogopa) anaanza kubeua na kucheua, kwa macho legevu mithiri ya kulewa anamtazama mgonjwa kwa makini katika namna ya kumchunguza. Mke wake yupo pembeni wanaangaliana na Ustadh machoni, hujui kinachoendelea kumbe kuna mawasiliano hapo, mke wake ndie anamwambia mgonjwa kwa lugha ya kibinadamu "kasema ufungue kinywa", "kasema usogee karibu usiogope", n.k. Ustadh anamaliza upelelezi, anazinduka akiwa amechoka, jasho linamtoka, anahema kama kakimbizwa umbali mrefu.

Shehe anaanza kuongea na mke wake lugha ambayo nadhani ni ya kikabila ama kiarabu, Shehe anamwambia mgonjwa afungue kinywa amgeukie mke wake, mkewe ghafla ni kama anapitiwa na usingizi akiwa amekaa kumbe nae kashapandisha hapo, anamchunguza mgonjwa kwa dakika 3 hivi, ili kujirudi Ustadh anamwite binti mdogo nadhani ni house girl anakuja kumtikisa anavyojua yeye ndio anazinduka.

baada ya hapo Shehe anaanza kusoma vifungu vya quran kama nusu saa hivi kwa sauti kubwa. Tiba zingine za ziada za mizizi, asali na mabaki ya miti yaliyosagwa ya kuogea mgonjwa anapewa awe anatumia, Shehe anamsisitiza mgonjwa awe anasali kila akiamka na kila akienda kulala, wawili tuliemsindikiza mgonjwa tunapewa jukumu la kuhakikisha anasali na kutumia hizo dawa.

Kwa siku 3 mfululizo mgonjwa tunampeleka mara mbili kusomewa visomo huku akiendelea na dozi.

Mgonjwa anaapona ila bado swali kuu linabaki kwamba kwanini majini hutumika ?
Dini ya Mudi na ushirika haviwezi achana
Kumbuka ushirika = uchawi
 
Tushakupakia lupungu, kilichosalia ni kuingiza nyoka wawili kwenye pango moja.

Wahi basi delicious tukuloweshe mabao
Hakyanani "utomvu" umeshakuharibu ubongo....hebu isome tena hiyo comment yako...umeshamaliza?!!!

Nenda kajiangalie katika kioo halafu ujipige kifuani kwa kujigamba na kusema "MIMI NI BOTTOM ZAMWAMWA"[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hakyanani "utomvu" umeshakuharibu ubongo....hebu isome tena hiyo comment yako...umeshamaliza?!!!

Nenda kajiangalie katika kioo halafu ujipige kifuani kwa kujigamba na kusema "MIMI NI BOTTOM ZAMWAMWA"[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeshajitaja wewe ni bottom. Kesho wahi ukasafishwe, tumekufira kibabe mno leo, mboo mk*ndn nyingine mdomoni zote umezitumikia kiufundi, shahawa umemeza nyingine umesukumiwa tumboni.. tatizo unakunya mno kwenye mashuka
 
Kwa waislamu majini ni waislamu wenzao , na Allah alishawahi kuyatuma kwa muislamu selemani yakawa yanamfanyia alitakalo

Kwa hiyo ni sawa muislamu kutumia ndugu yake katika Imani amasaidie

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Nimesoma vyema biblia na Quran....na ninaendelea kuvisoma....

Bahati mbaya iliyoje hao wanaojifanya kufuata hivyo vitabu kuna wakati ukiwaangalia na kuwasikiliza(katika mambo ya kawaida) unaona UCHIZI/AKILI NDOGO NA UJUHA katika nyuso na midomo yao....[emoji1787][emoji1787]

Nikitaka nipate burudani ya kuburudika kwa uchizi wa machizi huwa nakaa sehemu kuwatafuta hao jamaa na KUWASAWILI....bila ya wao kunijua [emoji1787][emoji1787]

Hakyanani unajiona uko ndani ya WODI NAMBA 14 pale Mirembe na unawakodolea wakiwa juu ya vitanda "vyao"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi kweli mtu anakuambia WAISLAM wanatumia majini....Nabii Solomon alitumiwa majini kumjengea nyumba....aliyewatuma ni Mungu...ikiwa ni Mungu...mimi sibishi...ikiwa "chizi" mmoja anaamini kuwa hawakutumwa na Mungu...najiuliza hivi LUCIFER(IBLIS)hakuumbwa na Mungu...hivi hajawahi kutumiwa/kutumwa na Mungu(ajuavyo yeye)?!!!

Hizi nguvu za Lucifa kuwapotosha walimwengu ni nani anampa kama si Mungu?!!!

Sisemi kuwa Mungu anamtuma kuwapotosha watu...

Ukiwaangalia WAISLAMU wanaomlaani Iblis....toka wamlaani bado tu "mwamba wa giza) yupo....wanakufa wanamuacha....

Ukiwaangalia Wakristo toka wamkemee Iblis...."mwamba wa giza" yupo tu....wanakufa wao wanamuacha.....

Kwa haya machache kama kweli ulizaliwa na IQ kubwa na Mwenyezi Mungu akakuzadiwa BUSARA wala hutokuwa MHAFIDHINA WA DINI na kupitiliza KUWATUKANA WATU WA DINI NYINGINE....kwani "mchezo" mzima wa wanadamu,majini ,mashetani ,Iblisna sisi wanadamu anaujua yeye aliye pekee...Yahweh ,Yehova ,Allah ,Adonai ,Jah ,Ngai........[emoji1787]

AKILI NI MALI

Blaza ukiniambia kuwa DINI haitutaki tutumie AKILI...mimi napita kushoto "fasta" nakuacha uendeleze "uhobobo" na machizi wenzako WANAOJIITA WAUMINI....[emoji1787]

#YetzerHatov[emoji120]
#DoNotDoHarm[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom