Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #21
Hapa ndio umemaliza na kutumia ubongo wako wote?Niliandika nikafuta mara3 lkn kabla sijakujibu naomba kutambua umri wako kwanza?
Kitu kingine punguza mihemko katika kuandika,jifunze kuandika kwa kutumia tafiti za kweli.
Mimi nimewashangaa wanaomponda Mwamposa wakati wao wanasafiri maelfu ya kilometer kwenda kubusu jiwe na kumpiga mawe shetani.Sasa ndo nini hii?
Wewe unaemuamini yesu ndo uko sahihi? ndo ujinga wa dini, kila mtu anaona yake ndo sahihi
Wewe utakua mlokole 'sina dini, niko na yesu' walokole ni wakristo waliochangamka
Sijawahi kukanyaga kwa Mwamposa. Soma hoja yangu uielewe.Umetumwa na mwamposa upige promo
Kamwambie kuwa tofauti yake yeye ni tapeli anawakamua waumini wajilipue na hata hela nauli...
Papa anayebariki mashoga na muhammad anayewapa watu danguro huko ahera ndio sio matapeli?Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine tuu
Sijawahi kufika kwenye kanisa la mwamposa. Isome hoja yangu uielewe.Mwamba ndo anampambania tapeli!!
Ni aibu mtoto wa kiume kukaa kumpigia magoti huyo tapeli, kwakuwa kashaingia katika mfumo hawezi elewa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ubongo wako una utando wa dini.ukichanganya bangi na pombe Lazima tatizo la afya ya akili na Roho likukumbe na kuchakaza ubongo ubongo wako na kisha kupoteza muelekeo kama hivi anavyopotoka huyu ndrugu yetu mwanzoni kabisa mwa mwaka 2024, yaaan dah!
sijui kufikia April atakua na hali gani phisically, mentally and spirituality....
ni kumuombea tu maana hakuna namna nyingine 🐒
Hapa ana zungumziwa tapeli mwamposa sio huyo bibi kizee kichaa anaeitwa papa wala sio mudiPapa anayebariki mashoga na muhammad anayewapa watu danguro huko ahera ndio sio matapeli?
Sasa wafuasi wa mudi na wa papa wanatofauti gani na hao wa mwamposa?Hapa ana zungumziwa tapeli mwamposa sio huyo bibi kizee kichaa anaeitwa papa wala sio mudi
Mwamposa bana, ndiyo umeamua kuja kihivi?Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini.
Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma.
Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka kutoka kwenye hiyo imani wanakukata kichwa.
Watu hawa wanaamini wakifa mungu wao kawaandalia danguro na baa huko watakuwa wanafanya uzinzi na ulevi milele.
Wengine kutwa kucha wanaomba marehemu wanayemuita bikira ilihali alizaa watoto watano awe anawaombea sasa na saa ya kufa kwao. Wanabariki wenye ndoa za jinsia moja.
Dini ni kitu cha ajabu sana. Wana heri wale wasiokuwa na dini bali wako ndani ya Yesu Kristo. Kwake yeye Mwamposa, au TB Joshua au Mwakasege au Muhammad si kitu bali imani kwake itoayo uzima wa milele.
Unamsikia huyu FaizaFoxyMimi nimewashangaa wanaomponda Mwamposa wakati wao wanasafiri maelfu ya kilometer kwenda kubusu jiwe na kumpiga mawe shetani.
Wengine wametengeneza sanamu la bikira halafu wanaliabudu. Wanaombea watu waliokufa nk lakini wanampinga anayeombea waliohai.
Kuwa na Yesu Kristo moyoni hakuna uhusiano na dini na wala hakubagui wengine.
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Dah, huyo sijawahi hata kufika hapo kwenye kanisa lake. Soma hoja yangu uielewe.M
Mwamposa bana, ndiyo umeamua kuja kihivi?
unaongea bila kutumia kichwaDunia inaweza kuwa salama sana bila dini.
Raha sana.Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini.
Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma.
Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka kutoka kwenye hiyo imani wanakukata kichwa.
Watu hawa wanaamini wakifa mungu wao kawaandalia danguro na baa huko watakuwa wanafanya uzinzi na ulevi milele.
Wengine kutwa kucha wanaomba marehemu wanayemuita bikira ilihali alizaa watoto watano awe anawaombea sasa na saa ya kufa kwao. Wanabariki wenye ndoa za jinsia moja.
Dini ni kitu cha ajabu sana. Wana heri wale wasiokuwa na dini bali wako ndani ya Yesu Kristo. Kwake yeye Mwamposa, au TB Joshua au Mwakasege au Muhammad si kitu bali imani kwake itoayo uzima wa milele.
uMepanic au ni pepo limekuvuruga 🐒Ubongo wako una utando wa dini.
maisha kayakosea mwenyewe ujanani akiwa na nguvu, na sasa yanamvuruga ukubwani akiwa hana kitu hana cha kufanya kazi kufuatilia ya watu huku yake yamemshinda kabisa 🐒Mimi m0aka sasa sijaelewa lengo la mleta mada, aliyemuelewa anieleweshe.