Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

Niliandika nikafuta mara3 lkn kabla sijakujibu naomba kutambua umri wako kwanza?

Kitu kingine punguza mihemko katika kuandika,jifunze kuandika kwa kutumia tafiti za kweli.
Hapa ndio umemaliza na kutumia ubongo wako wote?
 
Sasa ndo nini hii?

Wewe unaemuamini yesu ndo uko sahihi? ndo ujinga wa dini, kila mtu anaona yake ndo sahihi

Wewe utakua mlokole 'sina dini, niko na yesu' walokole ni wakristo waliochangamka
Mimi nimewashangaa wanaomponda Mwamposa wakati wao wanasafiri maelfu ya kilometer kwenda kubusu jiwe na kumpiga mawe shetani.

Wengine wametengeneza sanamu la bikira halafu wanaliabudu. Wanaombea watu waliokufa nk lakini wanampinga anayeombea waliohai.

Kuwa na Yesu Kristo moyoni hakuna uhusiano na dini na wala hakubagui wengine.
 
ukichanganya bangi na pombe Lazima tatizo la afya ya akili na Roho likukumbe na kuchakaza ubongo ubongo wako na kisha kupoteza muelekeo kama hivi anavyopotoka huyu ndrugu yetu mwanzoni kabisa mwa mwaka 2024, yaaan dah!

sijui kufikia April atakua na hali gani phisically, mentally and spirituality....

ni kumuombea tu maana hakuna namna nyingine 🐒
Ubongo wako una utando wa dini.
 
M
Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini.

Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma.

Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka kutoka kwenye hiyo imani wanakukata kichwa.

Watu hawa wanaamini wakifa mungu wao kawaandalia danguro na baa huko watakuwa wanafanya uzinzi na ulevi milele.

Wengine kutwa kucha wanaomba marehemu wanayemuita bikira ilihali alizaa watoto watano awe anawaombea sasa na saa ya kufa kwao. Wanabariki wenye ndoa za jinsia moja.

Dini ni kitu cha ajabu sana. Wana heri wale wasiokuwa na dini bali wako ndani ya Yesu Kristo. Kwake yeye Mwamposa, au TB Joshua au Mwakasege au Muhammad si kitu bali imani kwake itoayo uzima wa milele.
Mwamposa bana, ndiyo umeamua kuja kihivi?
 
Mimi nimewashangaa wanaomponda Mwamposa wakati wao wanasafiri maelfu ya kilometer kwenda kubusu jiwe na kumpiga mawe shetani.

Wengine wametengeneza sanamu la bikira halafu wanaliabudu. Wanaombea watu waliokufa nk lakini wanampinga anayeombea waliohai.

Kuwa na Yesu Kristo moyoni hakuna uhusiano na dini na wala hakubagui wengine.
Unamsikia huyu FaizaFoxy

Ova
 
Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini.

Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma.

Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka kutoka kwenye hiyo imani wanakukata kichwa.

Watu hawa wanaamini wakifa mungu wao kawaandalia danguro na baa huko watakuwa wanafanya uzinzi na ulevi milele.

Wengine kutwa kucha wanaomba marehemu wanayemuita bikira ilihali alizaa watoto watano awe anawaombea sasa na saa ya kufa kwao. Wanabariki wenye ndoa za jinsia moja.

Dini ni kitu cha ajabu sana. Wana heri wale wasiokuwa na dini bali wako ndani ya Yesu Kristo. Kwake yeye Mwamposa, au TB Joshua au Mwakasege au Muhammad si kitu bali imani kwake itoayo uzima wa milele.
Raha sana.

Na wewe unawashangaa?
 
Mimi m0aka sasa sijaelewa lengo la mleta mada, aliyemuelewa anieleweshe.
maisha kayakosea mwenyewe ujanani akiwa na nguvu, na sasa yanamvuruga ukubwani akiwa hana kitu hana cha kufanya kazi kufuatilia ya watu huku yake yamemshinda kabisa 🐒
 
Back
Top Bottom