GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
HII NDIO TANZANIAIlitokea mkoani Geita mwaka 2019.
Walimtolea sadaka na kumwomba awabariki.
Kwao, nyoka aina ya chatu si kiumbe cha kawaida, bali ni mungu.
Lakini miaka minne imeshapita sasa tokea hicho kituo kitokee Geita.
Bado huo utamaduni upo Tanzania?
Aisee!Kuna watu ndio zao hizi vituView attachment 2800344
Haifilisiki vituko!HII NDIO TANZANIA
??? ... !!!Anaeabudu chatu aneabudu ng'ombe anaeabudu Yesu anaeabudu Allah...hawana tofauti
We all need something to worship.
Me? I worship PMW