Kuna watu wanaomwabudu chatu?

Kuna watu wanaomwabudu chatu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Ilitokea mkoani Geita mwaka 2019.

Walimtolea sadaka na kumwomba awabariki.

Kwao, nyoka aina ya chatu si kiumbe cha kawaida, bali ni mungu.

Lakini miaka minne imeshapita sasa tokea hicho kituo kitokee Geita.

Bado huo utamaduni upo Tanzania?

Kuna watu ndio zao hizi vitu
images (27).jpeg
 
Ilitokea mkoani Geita mwaka 2019.

Walimtolea sadaka na kumwomba awabariki.

Kwao, nyoka aina ya chatu si kiumbe cha kawaida, bali ni mungu.

Lakini miaka minne imeshapita sasa tokea hicho kituo kitokee Geita.

Bado huo utamaduni upo Tanzania?
HII NDIO TANZANIA
 
Anaeabudu chatu aneabudu ng'ombe anaeabudu Yesu anaeabudu Allah...hawana tofauti

We all need something to worship.
Me? I worship PMW
 
Back
Top Bottom