Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
545
Reaction score
1,179
Wanajf naomba kushare hii story

Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
 
Kwani kutowahi kutumia choo cha shimo ni kuringa?

Hapo ni sawasawa na mimi nikwambie wewe hujawahi kuendesha Lamborghini hivyo wewe unaringa.

Huyo ambaye hajawahi kuendesha Lamborghini na huyo ambaye hajawahi kutumia choo cha shimo wote hawana tofauti.

First time for everything.
 
Si bora huyo kajua ni choo kuna mwingime hajui kabisa kama kuna vyoo vya hivyo au vile vya sinki vya kuchuchumaa
Maisha ayako fair aisee Mimi mpk sasa sijaamini naona alikuwa anatufanyia itani
 
Wanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
huyo hakuwa amebanwa mkuu
 
Ukusoma bongo auna wazee kijijini manake ago ndio maisha yao
😂😂😂😂kuna watu wanaishi hawaujui ugali,makande na utumbo wala miguu ya kuku.

Hata ningekua mie nisingekitumia choo cha shimo sikipendi
 
Nilisoma bongo mkuu hizi hizi kayumba vyoo vya shimo na zamu ya kuvisafisha ila bado navichukia.

Vyoo vya shimo sio mpaka vijijini mkuu,uku huku mijini watu bado wanavyo na mabafu ya nusu kiuno hasa sehemu za milimani
Ukusoma bongo auna wazee kijijini manake ago ndio maisha yao
 
Usilazimishe kila mtu apitie maisha ya wengine
 
Wanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no...
Unashangaa hicho cha shimo kuna wengine hata sink cha kuchuchumaa hawajawai kukitumia
 
Back
Top Bottom