Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,151
- 5,024
Acha kabisa hii kitu kwa wale wa temeke, tandika, kipawa, manzese, tandale wanaelewa vizuri hii kitu ndugu!
unaingia na kikopo kimoja kama cha lita moja kitoshe kutawadha, kusukumizia mavi na pia kuosha kamfagio ulichosukumizia mavi kwa kikopo hichohicho.
utaratibu mzigo unaupaki karibu na tundu kwa kuwa huwezi kuipeleka moja kwa moja kinyesi cha chooni hakifiki mita mbili hivyo kinaweza kukurukia unamaliza na unatoka fresh bila hofu.
bahati mbay nyumba hizi sk hizi zimenunuliwa na wapemba sikawekwa maghorofa.
yale sio maisha na tulikuwa tumezoea kwa sasa ukiniona huwezi amini kama hayo maisha nimeishi