Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

Wapo wengi wengine hawajawahi kula nyama ambayo haijasagwa wanasema wanaogopa kuchoka kutafuna
 
Eeeeeeee, kama unamavi kanye kichaka kile pale. Eeeeeee mama kama unamavi kanye kichaka kile pale ×2
 
Huyu Numbisa kuna uzi mmoja alikuwa anatukana watu matusi makali sana.
Nilihakikisha nareport comments zake zote, so sidhani kama huyu ni wakurudi leo au kesho
Sasa umepata faida gani mkuu? Matusi ya mtu usiyemfahamu yanakuumizaje?

By the way, ni uzi gani huo ulikuwa?
 
Mi nimezaliwa Oyster bay Dar, miaka 40 na ushee iliyopita!. Dingi alikua mshefa flani wizara ya fedha. Pale nyumbani Marangu ni bonge la 'home'. Nimesoma Nairobi, Boston na Atlanta. Ki ukweli choo cha shimo nakisikia tu magaztini na kusoma redioni.
Duuu..upo vizuri aisee
 
Here we go
IMG_20210301_104901.jpg

Huyu Numbisa kuna uzi mmoja alikuwa anatukana watu matusi makali sana.
Nilihakikisha nareport comments zake zote, so sidhani kama huyu ni wakurudi leo au kesho
 
Uzi mmoja wa tanzia walikua wanafanya sherehe jamaa kafariki so wanaikomoa serikali

Halafu sasa wakaanza isimanga K yangu nikawajibu kama yao bila tafsida ikawauma
Sasa umepata faida gani mkuu? Matusi ya mtu usiyemfahamu yanakuumizaje?

By the way, ni uzi gani huo ulikuwa?
 
Sasa umepata faida gani mkuu? Matusi ya mtu usiyemfahamu yanakuumizaje?

By the way, ni uzi gani huo ulikuwa?
Usifikiri kila mtu kalelewa vilabuni kama nyie, kitu ambacho kumtukana mzazi wako matusi ya nguoni ni kawaida yenu wala hamuoni shida
 
Panya wa majaribio kumbe umelelewa kilabuni pole jamani
Usifikiri kila mtu kalelewa vilabuni kama nyie, kitu ambacho kumtukana mzazi wako matusi ya nguoni ni kawaida yenu wala hamuoni shida
 
Ungemuacha wala usingesimama mbeleni angeenda hata machakani mwenyewe
 
Back
Top Bottom