Hakuna Kaka,mimi nimesoma primary school Mtendeni(Kayumba),miaka ya tisini ndiyo nimemaliza darasa la saba.Nimekuta shule ina vyoo vya sink(kuflash) miaka hiyo.Kwa hiyo inawezekana.Wewe umesema jambo Mimi njia nzima nimebaki na maswali kweli eti anasema kasoma shaban robart kwani uko hakuna choo cha shimo
Hapo issue sio kwamba hajawahi tumia choo cha shimo au la, issue kubwa ni kwamba tumbo halikushika vizuri, vinginevyo angeweza jisaidia hata chini ya busWanajf naomba kushare hii story
Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
Wanajf naomba kushare hii story

Yeah wahadzabekuna watu hawajawahi kuona aina yoyote ya choo zaidi ya vichakani [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unazingua jamaa unaijua shaban robert?,shule za watoto wa kishua hizo vyoo vya kunya kwa kulenga vinatoka wapi?Wewe umesema jambo Mimi njia nzima nimebaki na maswali kweli eti anasema kasoma shaban robart kwani uko hakuna choo cha shimo
Bwashee umeenda nje ya mada. Hapa tunazungumzia choo sio kaburi.Hata kama akikataa kutumia choo cha shimo ni kazi bure tu maana tutakutana nae kaburini ataenda tu kama kawaida na hatakataa eti hajawahi kufika ck yake ikifika ataingia aache mbwembwe.
ukishakua sniper tambua mission zako ni za hatari itakubidi kukaa kwenye highest roof au juu ya milima yenye wanyama wakali kupata shabaha nzuri so what you need to do is to focus on your target without hesitationChoo cha shimo mtu unakuwa na wasiwasi yani ile huduma huenjoy unaweza hisi kuna joka chini yani full mawenge
Si bora huyo kajua ni choo kuna mwingime hajui kabisa kama kuna vyoo vya hivyo au vile vya sinki vya kuchuchumaa
ukizoea umaskini na ukakuingia mpk kwenye damu ndio unakuwa kama wewechoo cha shimo naki respect na kukipa credit kuliko hivi vyoo vyenu vya mjini mnavyoviona vya kisasa vya kukaa
yani mnashea matako?
wewe na wenzako wote mnaotumia choo cha kukaa hususani cha public mjitafakari sana, naona mnahisi kufanya hivyo ni ukisasa au uzungu ila kihalisia ni uchokoukizoea umaskini na ukakuingia mpk kwenye damu ndio unakuwa kama wewe
Mi mwenyewe japo nimevitumia lakini siipendi kulikoNilisoma bongo mkuu hizi hizi kayumba vyoo vya shimo na zamu ya kuvisafisha ila bado navichukia.
Vyoo vya shimo sio mpaka vijijini mkuu,uku huku mijini watu bado wanavyo na mabafu ya nusu kiuno hasa sehemu za milimani