ama kweli aya maisha ayako fairMimi mwenyewe sijawahi. Inategemea umezaliwa na umekulia wapi.
So sioni ajabu hapo
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Maisha ayako fair aisee Mimi mpk sasa sijaamini naona alikuwa anatufanyia itani
huyo hakuwa amebanwa mkuuWanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
Ukusoma bongo auna wazee kijijini manake ago ndio maisha yao
Unashangaa hicho cha shimo kuna wengine hata sink cha kuchuchumaa hawajawai kukitumiaWanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no...