Mi nimezaliwa Oyster bay Dar, miaka 40 na ushee iliyopita!. Dingi alikua mshefa flani wizara ya fedha. Pale nyumbani Marangu ni bonge la 'home'. Nimesoma Nairobi, Boston na Atlanta. Ki ukweli choo cha shimo nakisikia tu magaztini na kusoma redioni.
Choo cha shimo mtu unakuwa na wasiwasi yani ile huduma huenjoy unaweza hisi kuna joka chini yani full mawenge
Choo cha shimo mtu unakuwa na wasiwasi yani ile huduma huenjoy unaweza hisi kuna joka chini yani full mawenge
Mimi ofisi yangu iko ghorofa ya 11 unataka nitumie choo cha shimo. Pia sijaongelea choo cha kukaa tunaongelea choo cha shimo katika karne hii. Unatetea umaskini? jiongeze mzee. Au huko maporini huko? Bundle unaweza kuweka ila unashindwa kuweka hata Indian toilet ya 30,000/=. Hivi unavyosikia kampeni za nyumba ni choo unadhani ni choo cha shimo? Ndio maana kila siku watu mnahara damu na vipindupinduwewe na wenzako wote mnaotumia choo cha kukaa hususani cha public mjitafakari sana, naona mnahisi kufanya hivyo ni ukisasa au uzungu ila kihalisia ni uchoko
Wapo, kuna watu wazazi/ukoo wao wamejenga mzunguko wa maisha kwa hio wasiweze kupata experience ya vitu vingineWanajf naomba kushare hii story
Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
Usilazimishe shida ulizopitia basi kila mtu kapitia...Hakuna kitu hicho labda ujazaliwa Tanzania
Kimsingi ni kuwa huyo jamaa yako hakubanwa na tumbo la kuhara maana kama kweli angebanwa angejisaidia hata porini.Wanajf naomba kushare hii story
Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
21st century, that's life mkuu.Mwingine hawezi kuoga kwa kutumia maji kwenye ndoo, kujimwagia kwa kopo ni mateso! Ni mwendo wa maji ya kufungua na kufunga mwenyewe tena yanayotiririka kutoka juu yakiwa yamechanganywa (vuguvugu)
Hawa nao sijui tuwaweke kundi gani mi nashauri hawa tuwaache kwanzaMwingine hawezi kuoga kwa kutumia maji kwenye ndoo, kujimwagia kwa kopo ni mateso! Ni mwendo wa maji ya kufungua na kufunga mwenyewe tena yanayotiririka kutoka juu yakiwa yamechanganywa (vuguvugu)
Sorry mkuu nadhani nilikosea kuku quote nilikuwa namjibu jamaa mmoja alinitusi huko juu. PotezeaSasa wewe ndio umefanya kosa kuni quote bila kuangalia nilichokiandika
Mimi kampeni yangu hapa ni kuhusu vyoo vya kukaa tena nimetilia mkazo kwa upande wa public, wewe ulitakiwa ulielewe hili kabla ya kukurupuka kuni quote.
Mi nimeshangaa umeivagaa post yangu na kuniita masikini, its fine kwasababu siwezi kujua kipato chako huwenda umenizidi lakini sijawahi kuomba unga kwako bruh. Kwangu mimi umasikini sio kukosa hela ya bundle wala sink la choo bali ni yale mahitaji matatu muhimu ya binadamu
Halafu kuna vitu vingine mnajiaibisha tu, kulikua na haja gani ya wewe kuniambia ofisi yako iko ghorofa ya 11? Hili ni jibu la swali gani ambalo mimi nimekuuliza?
Kuna mahali nimekuuliza location ya ofisi yako ilipo?
Hii ni jf najua tunatumia id fake tunaweza kukuheshimu kwa busara zako kwa namna unavyo behave pasipo kujua kipato chako na hadhi yako ya kimaisha so acha inferior hizo
Hapo SasaHuyo uliyekuwa naye kasema "hajawahi kutumia choo Cha shimo toka azaliwe"
Sasa mjadala wa nini Tena? Amini alivyokwambia mhusika.