Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
Hata kama hapelekewi moto ndiyo achukue Mme wa mwanaye? Embu waza kwa sauti ya chini !
 
Huyo mwongo mkubwa.
Ogopa sana watu design hiyo. Shukuru hakujua kuwa unashukia karibu.
Mwishoni ingefuata mlolongo wa shida:
Hapa unaponiona sijala siku tatu!
Hili jicho nimeambiwa nipeleke laki tatu nifanyiwe operation!
Ile nyumba niliweka rehani, sasa inapigwa mnada, nk,nk,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Nadhani sasa tunaelekea mwisho wa hii Dunia!! Hakuna ubinadamu tena bali ni unyama tu! How can a sane human being commit such a heinous act? Nimesoma mpaka mwili umesisimka.
Haya mambo tokea kitambo sana yalitokea dunia ina mambo yake paliko na wengi pana mengi
 
Back
Top Bottom