Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

Huyo jirani mnunua supu ni muuaji.
Alitoboa hiyo Siri kwa faida ya Nani?
Ona Sasa.
Mimi nikimuona mtu na mke wa watu Sana Sana nitamuambia mtu hiyo story bila ku reveal identity.
 
Haya ni maneno kutoka kwa mtu anaempenda Yesu[emoji848],kwahiyo ndio apelekewe moto na mkwe wake ?[emoji706][emoji706]
Wakanyaga mafuta haaa haaa hebu imagine! Mbengo zitafongoka!
Shetani anajua kuwaaibisha, kuwaanika na kuwatelekeza!
 
Huyo jirani mnunua supu ni muuaji.
Alitoboa hiyo Siri kwa faida ya Nani?
Ona Sasa.
Mimi nikimuona mtu na mke wa watu Sana Sana nitamuambia mtu hiyo story bila ku reveal identity.
Kama huwezi Ku reveal identity usiseme kabisa!
Mie nitakukaba aisee! Makongoro yatakutokea puani!

Mimi usiniambie kama hutaki nitajia mwizi wangu!
 
Kama huwezi Ku reveal identity usiseme kabisa!
Mie nitakukaba aisee! Makongoro yatakutokea puani!

Mimi usiniambie kama hutaki nitajia mwizi wangu!
Bambushka una kifua?
Unajua ukiambiwa Kuna mtu anamkula wife usipoangalia unaweza ukaua mtu. Hasa ukijiganya unaweka mtego halafu mtego ukanasa.
Aisee Mimi siwezi kuweka mtego wa kijinga namna hiyo Ila acha tu nisiseme......yaani sehemu labda unaishukia uvinza halafu mtu aikojolee...! Dharau iliyoje....
 
Hii chai hii. Yaani binti alipata mental prob na ilibididi atibiwe Kwa muda mrefu Ila Baba yake bado anaplasta jichoni mpaka Leo mnakutana. Usitufanyie hivyo
 
Ya kutofikishwa kileleni, Ya vibamia, au Ya mabwawa!?
Tuambie tu lililokusibu mkuu, huenda ukapata mrejesho wakukufaa!
Mimi mizigo mizito haina nafasi kwenye maisha yangu sina shida mpya ambayo sijawahi pitia ktk hustle zangu.
Nilipitia ushuhuda wa mtu mmoja leo ni mtumishi wa Mungu akiwa ni muuimbaji injili watz wote walimjua akiwa shoga bila wasiwasi akizungumza ashawahi bakwa mara mbili ashaolewa mara mbili akiwa kama Mwenyekiti wa mashoga nchini alipata Neema ya wokovu baada ya nafsi yake kurejeshwa toka utumwa wa shetani,roho ya ushoga ikatoweka urijali wake ukarudi
Leo ameoa ana mke mzuri na watoto wawili akiishi maisha ya amani na furaha kama mwanaume.
Check mzigo kama huu mbele ya watu watz wote wakijua ulikuwa shoga maarufu leo ni mtumishi wa Mungu.
 
Mkuu nisijue!

Yabakie huko huko!
 
Hapo hata mimi nilishangaa sana
Huyo Baba huenda havai jicho bandia, Kwa hiyo lile jicho lenye shida analifunika. IPO hiyo wawezakuta jicho linatoka Tu machozi, halioni!

Sijui kama chai au kahawa Ila haya mambo yapo!
 
Hii chai hii. Yaani binti alipata mental prob na ilibididi atibiwe Kwa muda mrefu Ila Baba yake bado anaplasta jichoni mpaka Leo mnakutana. Usitufanyie hivyo
Sasa assesment si mnaambiwa itakua muda mrefu
 
Huyo Baba huenda havai jicho bandia, Kwa hiyo lile jicho lenye shida analifunika. IPO hiyo wawezakuta jicho linatoka Tu machozi, halioni!

Sijui kama chai au kahawa Ila haya mambo yapo!
Story Kama hii niliisikia kutoka kwa sheikh mmoja pale Kariakoo,ila kwenye story ya Sheikh Mke ndiyo alitumbua jipu kwa sheikh baada ya kumfamania Mumewe na Mama yake Mzazi,wakati huo Mama yake kamwacha Mumewe huko Zanzibar ambae ndiyo Baba yake Mzazi,na nazani hadi issue ya Mama mkwee kushika ujauzito wa mkwee wake!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Astaghafilullah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…