Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Shida sio kupelekewa moto tu, tatizo lingine kubwa hua ni hisia.Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...
Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
Mtu mmeishi nae mia 30+ mpaka hisia zimepungua, ukiona dogodogo tena ni handsome mwenyewe huku chini kunaanza kuloana, na dogodogo ikiwa ni fundi mbona bimkubwa lazima apagawe.