Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

MWENYEZI M
Leo nikiwa katika usafiri wa jamii baba mmoja mwenye plasta jichoni alinisalimia vizuri tu na kuniuliza ninapoelekea. Ni wazi kuwa alikua anatafuta mtu wa kuongea nae ila asichokijua ni kuwa ninashare story humu jukwaani hasa mikasa halisi ya watu.

Huyu bwana alidumu kwenye ndoa kwa miaka 28 na binti yao wa kwanza mwenye miaka 27 alishaolewa harusi na anaishi kwa mume wake. Mzee mwenyewe alikua dereva wa Malory makubwa ya kusambaza bidhaa kutoka nchi moja kwenda nyingine.

Uchumi wao si haba waliishi katika nyumba ya kisasa aliyoijenga kwa pesa yake. Binti yake akiwa na ujauzito wa tatu kuna jirani aliyemuonba wakutane bar ya jirani kwa mazungumzo. Wakiwa bar jirani alinunua round ya kwanza na soup ya kongoro walipata supu na chapati huku jirani akiongelea uchumi wa nchi na bei ya vitu kupanda.

Walipata round ya tatu na kuku wa makange, alimuuliza jirani yaani umeniita kuja kuninunulia chakula? Jirani alimtaarifu kuwa yale yalikua ni maandalizi kwani alikomuitia ni zito. Mwisho alifunguka kuwa unafahamu mume wa binti yako ndiye Ben-10 wa mke wako? Mzee anasema ilichukua kama dakika tano hivi yale maneno kuingia akilini.

Jirani alimfahamisha kuwa akiwa safari, mkwe mkwee anatawala nyumba yake na majirani humuona a vyoingia na kutoka, huwa anatoka saa nane usiku kwake anakwenda kuitokia roll call kuwa alilala pale. Jirani aliendelea kuwa mkewe ni mwerevu sana katika kuficha hili, ukimuuliza atakataa na anaweza kubadilisha mbinu. Kama una moyo panga mtego wa kuwafuma.

Ni kweli mzee dereva aliaga ana peleka mzigo DRC Congo kumbe amechukua chumba guest mpaka saa tano sita ndiyo akaibuka nyumbani. Mtego ulinasa mkwe akiwa katika matrimonial bed ya wakwe hakuwa na Pa kukimbilia. Walizichapa sana na mkwe alimrushia ngumi baba mkwe jichoni iliyomuumiza sana wakati huo mke akitoka kuomba msaada.

Nyumbani binti alipoyasikia ujauzito uliharibika kwa shock, na binti aliapa kumuua mama yake. Mwisho binti alipata mental breakdown na ilibidi atibiwe hospitali maalum ya akili kwa muda mrefu, bibi alipewa wajukuu awalee na ndoa zote mbili zilivunjika.

Sikufahamu zaidi ya hapa kwani basi lilishafika Kwamtogole ambacho ndiyo kituo changu.
MWENYEZI MUNGU atuhurumie pia atupe uwezo wa kuyapokea magumu kwa busara na uvumilivu mkubwa
 
Hakuna cha kupelekewa moto wala nini.
Msaliti ni msaliti tu.
Kuna wanawake wana cheat kwa kisingizio cha hali ngumu...ajabu na matajiri nao wana cheat.
Roho ya ku cheat hainaga sababu maalum ni ulemavu tu.
Mkuu umegonga mahali. Kisaikolojia ni kuwa kinachoanza ni ku-cheat halafu sababu ya ku-cheat ndiyo inafuata ili kuhalalisha lile tendo. Iko hivi. Mwnamke wa aina hiyo anaongozwa na ile hulka ya ukahaba. Sasa akishafanya hili tendo ili roho isimsute, ubongo wake automatically unamjengea sababu ya kuhalalisha kile kitendo.
 
Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
Uchi wa mwanamuke ni kama shimo au bomba la maji taka haliwezi shiba wala kujaa. Hivyo kupeleka Moto ni kujiumiza tu, ndo maana mwanamuke anaweza kulala na wanaume zaidi ya kumi kwa siku na kila mmoja anapeleka Moto kwa style yake lakini bado hatosheki. Huyo mama hapo chini anasema watu wanapeleka moto Kama wanasukuma punda hatoki kifuani lakini akitoka hapo anaenda kwa jamaa mwingine naye hivyo hivyo. Iweje kidole kimoja kimutoshe ni heshima tu.
 
Attachments

  • VID-20220525-WA0123.mp4
    15.3 MB
Nguvu za kumvua chupi mama mkwe unazitoa wapi?

Hii sasa ni laana...
Hao walianza zamani, na inaonekana mama ndiyo alimkonekti binti ili aolewe amuweke kijana karibu zaidi.

Wamama zetu walichat na shetani, hawashindwi jambo!
Sad but true!
 
Hakuna cha kupelekewa moto wala nini.
Msaliti ni msaliti tu.
Kuna wanawake wana cheat kwa kisingizio cha hali ngumu...ajabu na matajiri nao wana cheat.
Roho ya ku cheat hainaga sababu maalum ni ulemavu tu.
Kweli ni ukilema! Ulemavu
Mbaya sana! Siombei binadamu yeyote awe na ulemavu wa kingono!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF pakutolea stress
Donatila kwanza huwa nakuheshimu sababu jina lako lafanana na crush wangu wa kwanza kabisa.
Lakini hii ya kupelekewa moto umeniangusha khaa😆
 
Sky Eclat Hongera kwa hilo namaanisha kupata nafasi ya kumsikiliza mtu mwenye changamoto....

Let me say this, kila mtu Duniani amepangwa na yeye muumba kwa makusudio yake Mungu na anatupa nafasi ya kusikiliza changamoto za watu tukapate funzo tutie neno litakaloleta faraja ambayo inaweza ikadumu kwa muhusika milele na isifutike kamwe....

Daima tujifunze na tuwe tayari kuzipokea changamoto au tuwe tayari kutoa mawazo yetu pindi tuwapo/tupewapo nafasi yakuwa NURU katikati ya giza nene
 
Donatila kwanza huwa nakuheshimu sababu jina lako lafanana na crush wangu wa kwanza kabisa.
Lakini hii ya kupelekewa moto umeniangusha khaa[emoji38]
Watu wanabadilika kulingana na mazingira...

Asante kwa kuniheshimu
 
Hao walianza zamani, na inaonekana mama ndiyo alimkonekti binti ili aolewe amuweke kijana karibu zaidi.

Wamama zetu walichat na shetani, hawashindwi jambo!
Sad but true!
Inasikitisha sana mkuu!
 
Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
kistaarabu kama moto hautoshi vunja ndoa kaishi na mpeleka moto

hakuna excuse yoyote ya ku cheat
 
Mfanyakazi mmoja wa basi maarufu Dar Moro, alikuwa mshikaji kupitia hizi safari zetu na kubeba mizigo. Nikawa simuoni, Kwa muda. Nikauliza pale Ubungo, nini kimemkumba, kafukuzwa kazi, wakasema hapana,

Stori ni hivi, huyo kaka kazi yake na alipojenga, ilikuwa lazima 10alfajiri lazima atoke, kwenda Ubungo, mke anamuacha ndani na watoto wadogo wa msingi, kurudi saa2 usiku, huku nyuma yeye akitoka, mwingine anaingia.
Ikaendelea majirani ikawakera, siku ya siku mmoja, akamuita akamuelezea, akamwambia weka mtego.
Jamaa akaaga alfajiri anaenda job, akajibanza, mbele huko, watoto wakaandaliwa kwenda shule. Yeye akawadakia njiani akawapost, akawasafirisha. Baadaye, walipoondoka kweli geti likafunguliwa msaidizi akaingia.
Mwenye mji akarudi na mapanga, aliwacharanga vibaya. Akajua kaua, akakimbia, kumbe aliwajeruhi vibaya, wakalazwa wakaugulia wamepona.

Ila wawili hao walishaachana. Watoto walipelekwa kwa bibi huko mikoani!

Popote alipo, nampa pole SANA, sijui yu mzima au mfu! Inasemekana alikimbilia mkoa fulani.
noma sana lakini angetatua kwa busara akamuacha mke bila mapanga ingependeza
 
Leo nikiwa katika usafiri wa jamii baba mmoja mwenye plasta jichoni alinisalimia vizuri tu na kuniuliza ninapoelekea. Ni wazi kuwa alikua anatafuta mtu wa kuongea nae ila asichokijua ni kuwa ninashare story humu jukwaani hasa mikasa halisi ya watu.

Huyu bwana alidumu kwenye ndoa kwa miaka 28 na binti yao wa kwanza mwenye miaka 27 alishaolewa harusi na anaishi kwa mume wake. Mzee mwenyewe alikua dereva wa Malory makubwa ya kusambaza bidhaa kutoka nchi moja kwenda nyingine.

Uchumi wao si haba waliishi katika nyumba ya kisasa aliyoijenga kwa pesa yake. Binti yake akiwa na ujauzito wa tatu kuna jirani aliyemuonba wakutane bar ya jirani kwa mazungumzo. Wakiwa bar jirani alinunua round ya kwanza na soup ya kongoro walipata supu na chapati huku jirani akiongelea uchumi wa nchi na bei ya vitu kupanda.

Walipata round ya tatu na kuku wa makange, alimuuliza jirani yaani umeniita kuja kuninunulia chakula? Jirani alimtaarifu kuwa yale yalikua ni maandalizi kwani alikomuitia ni zito. Mwisho alifunguka kuwa unafahamu mume wa binti yako ndiye Ben-10 wa mke wako? Mzee anasema ilichukua kama dakika tano hivi yale maneno kuingia akilini.

Jirani alimfahamisha kuwa akiwa safari, mkwe mkwee anatawala nyumba yake na majirani humuona a vyoingia na kutoka, huwa anatoka saa nane usiku kwake anakwenda kuitokia roll call kuwa alilala pale. Jirani aliendelea kuwa mkewe ni mwerevu sana katika kuficha hili, ukimuuliza atakataa na anaweza kubadilisha mbinu. Kama una moyo panga mtego wa kuwafuma.

Ni kweli mzee dereva aliaga ana peleka mzigo DRC Congo kumbe amechukua chumba guest mpaka saa tano sita ndiyo akaibuka nyumbani. Mtego ulinasa mkwe akiwa katika matrimonial bed ya wakwe hakuwa na Pa kukimbilia. Walizichapa sana na mkwe alimrushia ngumi baba mkwe jichoni iliyomuumiza sana wakati huo mke akitoka kuomba msaada.

Nyumbani binti alipoyasikia ujauzito uliharibika kwa shock, na binti aliapa kumuua mama yake. Mwisho binti alipata mental breakdown na ilibidi atibiwe hospitali maalum ya akili kwa muda mrefu, bibi alipewa wajukuu awalee na ndoa zote mbili zilivunjika.

Sikufahamu zaidi ya hapa kwani basi lilishafika Kwamtogole ambacho ndiyo kituo changu.
Pole sana kwa mkasa uliokupata wa kukutana na masimulizi haya mazito. Na siri nyingine siyo za kusimulia huku. Just twist them kidogo.
 
Hapa nahisi mzee atakuwa ampelekei moto mkewe vizuri...

Yani kama mzee hujui kupeleka moto utasaidiwa sana...
Kwa hiyo kama hupelekewi Moto vizuri ndiyo ulale na Mkweo tena kwenye kitanda Cha Mume wako!!? huo ni uzinzi tu uko ndani ya damu yake hakuna Cha kusingizia kuhusu Moto!!!
 
Baadhi ya wanawake wana matatizo sana. :
 
Back
Top Bottom