Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Welcome back,Wakati tunafanya utafiti mwizi yupo tu amesimama anasubiria utafiti uishe???
Ulipotelea wapi?
Welcome back,Wakati tunafanya utafiti mwizi yupo tu amesimama anasubiria utafiti uishe???
Siko fit kupambana na kundi kubwa kama hilo, na sio nia yangu kueleza nilivyoshujaa au jasiri lah bali ni kutoa au kuwakumbusha wenzangu kutokuchukua hatua za haraka.vandamme,lol,nimepata picha huyu mwanaJF atakuwa yupo fit sana,hivi hivi watu huwa hawasikiagi kny situation km hizo
Nao ni watz hivyo inawahusuUshauri huu unawahuhusu na wale mitulinga wanaofanya mazoezi barabarani kwa lengo la kukabiliana na wenanzengo?
Au wenyewe hawahusiki.
Siko fit kupambana na kundi kubwa kama hilo, na sio nia yangu kueleza nilivyoshujaa au jasiri lah bali ni kutoa au kuwakumbusha wenzangu kutokuchukua hatua za haraka.
Usijitoe ufahamu weweWakati tunafanya utafiti mwizi yupo tu amesimama anasubiria utafiti uishe???
Alafu kwa mabaya wanayoyajua hayawapi hasira.Watanzania wanajazba ya jambo wasilolijua.
Stori za kufikirisha hizi. Ukweli ulijulikanaje kuwa hakuwa akiiba, bali alikuwa anarekebisha kamba iliyokuwa imekaba! Wakati hapakuwa na muda wa kuhoji na kusikiliza?Hayo hayo ya kukurupuka jamaa mmoja Mbeya aliuwawa kwa kuhisiwa anaiba mbuzi kumbe alimkuta mbuzi amejikaba shingo kamba imemnyoga anataka kufa akaamua kumnasua. Watu walipomkuta anamnasua mbuzi wakaita mwizi kisha?.....kipigo hadi kufa.
Kweli mkuu..nmefikiria ilikuaje hivi vichwa hapa Arusha vikamsikiza Huyu jamaa mpaka kumwacha mshukiwa waovandamme,lol,nimepicha huyu mwanaJF atakuwa yupo fit sana,hivi hivi watu huwa hawasikiagi kny situation km hizo
Mkuu, hii ni sawa na vita vya maneno, ikiwa utajiamini na ukatoa sauti kwa hisia kali na yenye msisitizo, huwezi amini watu huwa wanapigwa na mshangao.Kweli mkuu..nmefikiria ilikuaje hivi vichwa hapa Arusha vikamsikiza Huyu jamaa mpaka kumwacha mshukiwa wao
Uwe unasoma na kuelewa sio kila mara kucomment Pumba tu, akishakamatwa awekwe chini ya ulinzi kisha ahojiwe kaiba nini? Na aliyeibiwa ni nani? Na hicho kilichoibwa anacho huyo Mwizi?Wakati tunafanya utafiti mwizi yupo tu amesimama anasubiria utafiti uishe???
Safi sana Mkuu kwa moyo huo wa kijasiri.Heshima kwenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeona leo niwashauri Watanzania wenzangu wanaopenda kufanya maamuzi bila kufanya utafiti.
Wazo/ ushauri huu nimeamua kuuleta hapa baada ya tukio baya la kujaribu kuutoa UHAI wa kijana mmoja asiye na hatia jijini Arusha leo mchana.
TUKIO LENYEWE
majira ya saa 6:30 mchana nikiwa maeneo ya GOLDEN ROSE hotel,
Niliona kijana mmoja akijaribu kuvuka barabara kwa haraka.
KILICHOFUATA
baada ya baadhi ya watu walipomwona akivuka haraka, walianza kupiga kelele za mwizi mwiziii, ghafla nilimwona rafiki yangu jina kapuni naye akitoka na chuma mkononi mwake naye alianza kulifuata kundi hilo linalomfukuza kijana.
KIJANA AKAMATWA
kwa wale wenyeji wa Arusha maeneo ya golden rose lina watu wengi, hivyo huyo kijanahaikuwa vigumu kukamatwa na ghafla walianza kumshambulia kwa vyuma ngumi na mateke.
TUKIO LILIVUTA HISIA
Baada ya kuona hivyo ghafla moyo wangu ulifadhaika kwa kuona kijana anauawa mbele ya macho yangu, hivyo nilitamani KUJUA sababu inayompelekea umauti kwani sikuona kama atapona.
Nilianza kuwahoji waliokuwa mstari wa mbele kumpiga kwa kuanzia na huyu jamaa ninayemfahamu.
Hakunipa majibu ya kuridhisha, wapili na wa tatu wote hawakuwa na majibu
NILICHUKUA HATUA ZA KUHATARISHA UHAI KUMNUSURU
baada ya kukosa majibu ya kwanini wanataka kumuua ndipo nilipoamua kuingia ktkt ya kundi kubwa na kuwaomba wale wanaompiga kujiridhisha na hatua hiyo kabla hawaja muua.
Walinikasirikia wakidai huyo ni mwizi nami niliwahoji
Kaiba nini
Aliyeibiwa yu wapi
Ameiba k2 gn?
Walikosa majibu, wakatulia japo kabla ya kutulia walinikasirikia na kunitolea lughachafu, nami ckujali nilivaa ujasiri nikwaambia tumhoji
MAHOJIANO YAKAANZA
baada ya kuanza kuhoji tuligundua ni mtu alikuwa na haraka zake akikimbilia mteja anayemsubiri dukani baada ya kumpigia simu kuwa anamsubiri.
Ndipo umati uliponigeukia na kunipongeza kwa ujasiri.
SWALI
je ni watanzania wangapi wameuawa bila hatia?
Kuna gharama gani kuhoji na kujiridhisha kabla ya kuchukuahatua?
NINASHAURI TUSIFANYE MAAMUZI KABLA YA UTAFITI
Ndugu yang hujui kama hii ndio sifa ya mwafrica kuuwana pasipo sabab na kudhalilishana pasipo sabab .Heshima kwenu wakuu.

Hahaha,we Rubii wewe matatizo sana aiseeWakati tunafanya utafiti mwizi yupo tu amesimama anasubiria utafiti uishe???
Hongera mkuu ulitumia hekima kama Lowassa,,Heshima kwenu wakuu.