Upo sawa mkuu,sasa hilo kundi kwa vile lina uchungu wa kuibiwa hujikuta hasira zao wanazimalizia kwa Mwizi mwingine ambaye kapigiwa kelele za mwiziiii bila hata kujulikana ni kweli mwizi? Na kaiba wapi?Subiri kuna kundi litakuja hapa kukwambia 'hujaibiwa wewe..'
Wewe umewahi kutoa msaada gani unapokutana na jambo kama hilo?Wazo zuri
Ila naoa kama hukutoa msaada mkubwa kivile.
Maana ujasiri sio kwenda kumuokoa tu,ujasiri ungepambana kwa kumpeleka polisi ili wahusika wafunguliwe kesi.Maana wote watakuwa wanajulikana maana ni wa maeneo hayo hayo.
Uwe unasoma na kuelewa sio kila mara kucomment Pumba tu, akishakamatwa awekwe chini ya ulinzi kisha ahojiwe kaiba nini? Na aliyeibiwa ni nani? Na hicho kilichoibwa anacho huyo Mwizi?
Ni kweli atamalizia hasira pale lakini ikijulikana sio mwizi nao hujikuta mikononi mwa polisiUpo sawa mkuu,sasa hilo kundi kwa vile lina uchungu wa kuibiwa hujikuta hasira zao wanazimalizia kwa Mwizi mwingine ambaye kapigiwa kelele za mwiziiii bila hata kujulikana ni kweli mwizi? Na kaiba wapi?
Tu wakosoaji wazuri japo sio watendaji wazuri, sawa na shabiki akiwa nje ya uwanja huwa mjuaji kushinda mchezajiWewe umewahi kutoa msaada gani unapokutana na jambo kama hilo?
Mleta mada amefanya alichokiweza,na hata kama angempeleka Polisi pia ungehoji "Baada ya kumpeleka polisi ulifuatilia kesi yake au ulimtelekeza tuu?"
Binadamu hatukosi lawama na kujitia ujuaji mwingi..!!
Kuna watu wana comment humu JF ili mradi tu na wao waonekane wamo humu ili wasisahaulike!! Comment zako nyingi ni za hovyo hovyo tu, jaribu kujitafakari upya!Anakamatwaje bila kukatwa mguu kwanza?
Hovyo hovyo kwa sauti ya Tundu Lisu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu wana comment humu JF ili mradi tu na wao waonekane wamo humu ili wasisahaulike!! Comment zako nyingi ni za hovyo hovyo tu, jaribu kujitafakari upya!
Kuna watu wana comment humu JF ili mradi tu na wao waonekane wamo humu ili wasisahaulike!! Comment zako nyingi ni za hovyo hovyo tu, jaribu kujitafakari upya!
Hata mimi siamini katika kuua, napendelea mtu apate funzo yaani kuadhibiwa ili abadilike aache hiyo tabia na sio kuua, mfu hajifunziasante kutukumbusha uhai ni muhimu,mie hata km ameiba kweli bado uhai wa mtu ni muhimu.Watanzania wanachekesha sana mbona wanaowaibia kny umma huwa hawashambulii mpaka kuuwa,au MAFISADI HAMYAJUI NYIE???
Tukio kama hilo pia liliondoa uhai wa kijana mmoja, alikuwa na uhusiano na mhudumu wa bar moja kwa upande wa kaunta, walilala pamoja kwenye hiyo bar kwani inavyumba vya wageni, walihitilafiana kidogo kwa masuala ya pesa za matumizi, hivyo jamaa aliamua kuondoka kwa hasira na huyo dada alimfuata kwa nyuma akipiga kelele mwiziii watu walikuja kwa hasira na kumuua..jamaa aliacha mke na watoto 2 hivihivi na yule dada alipotea tangu ck ile hadi leo.pole na hongera sana kwa huo moyo mkuu,huku kitaaa watu wakisikia tu neno mwizi basi wao ni kubeba chochote alichonacho karibu,kuna watanzania wengi sana wamekufa bila hatia,kuna jamaa alikufa udsm pale kisa tu mpenzi wake walipozinguana akaamua kuita mwizi