Tukio kama hilo pia liliondoa uhai wa kijana mmoja, alikuwa na uhusiano na mhudumu wa bar moja kwa upande wa kaunta, walilala pamoja kwenye hiyo bar kwani inavyumba vya wageni, walihitilafiana kidogo kwa masuala ya pesa za matumizi, hivyo jamaa aliamua kuondoka kwa hasira na huyo dada alimfuata kwa nyuma akipiga kelele mwiziii watu walikuja kwa hasira na kumuua..jamaa aliacha mke na watoto 2 hivihivi na yule dada alipotea tangu ck ile hadi leo.
Wauaji wanajuta maisha yao yote baada ya kuujua ukweli.