Kuna watu wanauawa bila Hatia kwa tuhuma za wizi, watanzania tuache kukurupuka

Ushauri huu unawahuhusu na wale mitulinga wanaofanya mazoezi barabarani kwa lengo la kukabiliana na wenanzengo?
Au wenyewe hawahusiki.
 
vandamme,lol,nimepata picha huyu mwanaJF atakuwa yupo fit sana,hivi hivi watu huwa hawasikiagi kny situation km hizo
Siko fit kupambana na kundi kubwa kama hilo, na sio nia yangu kueleza nilivyoshujaa au jasiri lah bali ni kutoa au kuwakumbusha wenzangu kutokuchukua hatua za haraka.
 
Ushauri huu unawahuhusu na wale mitulinga wanaofanya mazoezi barabarani kwa lengo la kukabiliana na wenanzengo?
Au wenyewe hawahusiki.
Nao ni watz hivyo inawahusu
Cc IGP NA MWIGULU wawaendelee kuwakumbusha vijana wao kufanya kazi kwa weledi
 
Siko fit kupambana na kundi kubwa kama hilo, na sio nia yangu kueleza nilivyoshujaa au jasiri lah bali ni kutoa au kuwakumbusha wenzangu kutokuchukua hatua za haraka.

ok mkuu,usichukulie serious
 
Hayo hayo ya kukurupuka jamaa mmoja Mbeya aliuwawa kwa kuhisiwa anaiba mbuzi kumbe alimkuta mbuzi amejikaba shingo kamba imemnyoga anataka kufa akaamua kumnasua. Watu walipomkuta anamnasua mbuzi wakaita mwizi kisha?.....kipigo hadi kufa.
Stori za kufikirisha hizi. Ukweli ulijulikanaje kuwa hakuwa akiiba, bali alikuwa anarekebisha kamba iliyokuwa imekaba! Wakati hapakuwa na muda wa kuhoji na kusikiliza?
 
vandamme,lol,nimepicha huyu mwanaJF atakuwa yupo fit sana,hivi hivi watu huwa hawasikiagi kny situation km hizo
Kweli mkuu..nmefikiria ilikuaje hivi vichwa hapa Arusha vikamsikiza Huyu jamaa mpaka kumwacha mshukiwa wao
 
Kweli mkuu..nmefikiria ilikuaje hivi vichwa hapa Arusha vikamsikiza Huyu jamaa mpaka kumwacha mshukiwa wao
Mkuu, hii ni sawa na vita vya maneno, ikiwa utajiamini na ukatoa sauti kwa hisia kali na yenye msisitizo, huwezi amini watu huwa wanapigwa na mshangao.
Kwa upande wangu hilo ni jambo la kawaida, endapo nikahisi kuna uonevu mahali, huwa ninashikwa na hasira isiyo ya kawaida na huwa sijali ni nani yuko mbele yangu.
 
Wakati tunafanya utafiti mwizi yupo tu amesimama anasubiria utafiti uishe???
Uwe unasoma na kuelewa sio kila mara kucomment Pumba tu, akishakamatwa awekwe chini ya ulinzi kisha ahojiwe kaiba nini? Na aliyeibiwa ni nani? Na hicho kilichoibwa anacho huyo Mwizi?
 
Safi sana Mkuu kwa moyo huo wa kijasiri.
 
Ndugu yang hujui kama hii ndio sifa ya mwafrica kuuwana pasipo sabab na kudhalilishana pasipo sabab .
 
Hongera mkuu ulitumia hekima kama Lowassa,,
 
Wazo zuri
Ila naoa kama hukutoa msaada mkubwa kivile.
Maana ujasiri sio kwenda kumuokoa tu,ujasiri ungepambana kwa kumpeleka polisi ili wahusika wafunguliwe kesi.Maana wote watakuwa wanajulikana maana ni wa maeneo hayo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…